izleQur'an
7:54> Ameumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6 kisha akaumba Jua, Mwezi na Nyota. (Kwann usione tendo hili la kuumba Jua, Nyota na Mwezi linakamilisha ck 7?)
Qur'an 10:3 na siyo 10:13 Hapa kaongelea kuumba Mbingu BILA IDADI na Ardhi kwa siku 6. {Ni Mbingu na Ardhi
Wewe Hesabu unaijua vizuri?
Quran 7:54
"Hakika Mola Mlezi aliyeziumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6"
Hapa,Mbingu+Ardhi=siku 6.
Quran 41:9
"Sema Hivyo nyinyi mnaomkata aliyeumba Ardhi kwa siku Mbili"
Mbingu+ardhi=siku 6
lakini ardhi=siku 2
kwahiyo Mbingu=siku 4
Quran 41:12
"Na akaweka humo milima juu yake na akabariki humo,na akakadiria humo chakula chake kwa katika siku 4."
Milima+chakula+vinginevyo=siku 4
Pia kwa mujibu wa Maelezo yako,Jua,mwezi na nyota Havikuumbwa pamoja na Mbingu
Hitimisho;
Milima+chakula+vinginevyo=4
Mbingu=4
Ardhi=2
jua,mwezi,nyota=1
Jumla 4+4+2+1=siku 11
kwani iwe siku 11,Wakati Allah aliuumba vitu vyote ndani ya siku 6.