Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Yah ile elimu ya vile nilikataa nkamuacha na CPA yake ambayo mpka leo hajagraduate nakumbuka nilimwambia ntakukuta hujamaliza cpa kipnd nmeshamaliza masters
Mzee finnest ni class mate wako?
 
Yah ile elimu ya vile nilikataa nkamuacha na CPA yake ambayo mpka leo hajagraduate nakumbuka nilimwambia ntakukuta hujamaliza cpa kipnd nmeshamaliza masters

Hahahahhahahaha
 
Nikienda nitajua. Nikishindwa si basi bwana kwani lazima [emoji23][emoji23][emoji23]

Huwezi shindwa unakomaa mpaka kieleweke ......sema tu inaweza chukua mda mrefu! Si unajua ile unafaulu kwa somo so mpaka kuyachomoa yote si kazi ndogo , Thu inawezekana ukiamua
 
Hahahahah nimesoma huku nacheka aisee mkuu.Yani hadithi tamu na unaielewa vizuri kabisa bila uwepo wa maneno magumu ila sasa baada ya story unabaki kujiuliza hii ni topic gani
 
Ila si wapo wanaofaulu? Kwanini mimi nishindwe sasa. Nikiamua kusoma nasoma japo siwagi serious. Hata hii nikipiga nitachomoka tu naamini.
Ndiyo wapo wanaofaulu ila wengi wao ni fresh from school, pia wengine ndo wale wa kurudia mitihan hata miaka 5
Kama una nia, muda na hela ya mchezo (jokin) jaribu bahati yako mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa jinsi jamaa alivyokuwa anatiririka ukategemea aseme alifaulu hata E hahah
 
Enzi hizo baba yangu alikua anataka nije kua doctor, akanipeleka kuniandikisha F.5 hata kabla serikali haijatoa selection za shule zake (nilikua na div. 1) F.4

Kufika akaniregister kusoma PCB(Shule 1 hivi ya private) ,nilisoma mwezi mzima hiyo physics naona nyota nyota tu nikaamua kuhamia CBG.

Mpaka namaliza Advance mzee anajua nipo PCB kumbe fizikia ilinipiga hat trick mapema tu.
 
1: Hivi kati ya pure mathematics na Advanced physics lipi somo gumu???
2: kwanini Hesabu ndo inaonekana ni somo gumu zaidi (ugonjwa wa taifa) na sio physics???
Hahaaaa.... Hesabu n ngumu o level huko kwa watoto wasiosoma...ila somo gumu dunian huwa n physics...physics ya advance weeeeeeee
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu kumbe na wewe ulisoma haya nadude.

Ndio maana posts zako hua zipo tofauti na wadada wa H-kunanii
Sasa nisome nielewe ili iweje. Nikisubiri kuelewa muda wenyewe hautoshi matopic mengiii bado usistaduu unanisubiri akaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…