Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mzee finnest ni class mate wako?Yah ile elimu ya vile nilikataa nkamuacha na CPA yake ambayo mpka leo hajagraduate nakumbuka nilimwambia ntakukuta hujamaliza cpa kipnd nmeshamaliza masters
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee finnest ni class mate wako?Yah ile elimu ya vile nilikataa nkamuacha na CPA yake ambayo mpka leo hajagraduate nakumbuka nilimwambia ntakukuta hujamaliza cpa kipnd nmeshamaliza masters
Yah ile elimu ya vile nilikataa nkamuacha na CPA yake ambayo mpka leo hajagraduate nakumbuka nilimwambia ntakukuta hujamaliza cpa kipnd nmeshamaliza masters
Nikienda nitajua. Nikishindwa si basi bwana kwani lazima [emoji23][emoji23][emoji23]Yeah ukiweka nia ya dhati unafaulu.....
Ni ngumu balaaHaiwezi kuwa ngumu kihivyo bwana kama wapo wanaofaulu.
Hapana mzee ila we serve same professionalMzee finnest ni class mate wako?
Ila si wapo wanaofaulu? Kwanini mimi nishindwe sasa. Nikiamua kusoma nasoma japo siwagi serious. Hata hii nikipiga nitachomoka tu naamini.Ni ngumu balaa
Hata kwa mtu mwenye background ya Cost na MA inakuwa mziki mnene.
Unaweza kusoma ukawa kama zombie
Nikienda nitajua. Nikishindwa si basi bwana kwani lazima [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha mbona hukuipa physics ushirikano after advanceIla si wapo wanaofaulu? Kwanini mimi nishindwe sasa. Nikiamua kusoma nasoma japo siwagi serious. Hata hii nikipiga nitachomoka tu naamini.
Oouh.. aliniambia hanipendi..Hapana mzee ila we serve same professional
Hahahahah nimesoma huku nacheka aisee mkuu.Yani hadithi tamu na unaielewa vizuri kabisa bila uwepo wa maneno magumu ila sasa baada ya story unabaki kujiuliza hii ni topic ganihalafu maswali ya physics huwaga yanaanza kama hadithi fulani hivi,yaani ****** mtungaji anakuvuta weeeeee anakuvuta weeeeee unakuujaaaa unakuja aaaaunaingia kwenye line zake then hapo hapo anakutupia jiwe paaaaaahhh la uso...yaani utakuta anaaza...
two stones thrown simutlaneously at a velocity of 20m/s at an angle of 60• to the horizontal,a man with a gun stand at 26m from the point of throwing,if the man has a mass of 80kg,calculate mass of the sun approximate to 6 decimal places..
ku**make hapa lazima ujambe,unaanza kujiuliza asa hapa ni topic gani,mtunzi kachanganga
projectile
calculating device
linear motion
planetary motion/gravity
error and dimension
unabaki tu kukumbuka maisha yako,marafiki zako,ndugu na jamaa,unakumbuka ulivokuwa unafaulu shule yako ya kata...unajikaza kiume mzee,unaandika data collection,unazugazuga pale na viformula basi unapoteza muda....unakusanya zako karatasi basi,unawaza hivi nimemkosea nini mungu mimi....kinyooonge unatoka class,sema ukikutana na wauni mnacheeeeeeeeekaaaaaaaaa basi unasahau na maisha ya shule yanaendelea.
nitarudi shule zote ila siyo advance ya tanzania *****....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo wapo wanaofaulu ila wengi wao ni fresh from school, pia wengine ndo wale wa kurudia mitihan hata miaka 5Ila si wapo wanaofaulu? Kwanini mimi nishindwe sasa. Nikiamua kusoma nasoma japo siwagi serious. Hata hii nikipiga nitachomoka tu naamini.
Haha... Physics ya Alevel sitaki hata kuisikia
Hahaaaa.... Hesabu n ngumu o level huko kwa watoto wasiosoma...ila somo gumu dunian huwa n physics...physics ya advance weeeeeeee1: Hivi kati ya pure mathematics na Advanced physics lipi somo gumu???
2: kwanini Hesabu ndo inaonekana ni somo gumu zaidi (ugonjwa wa taifa) na sio physics???
Sasa nisome nielewe ili iweje. Nikisubiri kuelewa muda wenyewe hautoshi matopic mengiii bado usistaduu unanisubiri akaa
Ndiyo wapo wanaofaulu ila wengi wao ni fresh from school, pia wengine ndo wale wa kurudia mitihan hata miaka 5
Kama una nia, muda na hela ya mchezo (jokin) jaribu bahati yako mkuu