Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Ndugu yangu mambo mengi yaache hivyo hivyo,kama huyo unayesema ni omba omba alikuwa ni spy wa nchi jirani anakusanya taarifa eneo hilo? Mengine acha askari wafanye kazi zao,sio padri wale
 
U spy wa kujifanya omba omba au kichaa ni zamani, tech imebeba yote hayo nowdays.
 
Kuna Askari huku ludewa alimpiga jamaa flani akimtuhumu kua alikua anamuibia mke Sasa jamaa alimpiga mpaka alifariki. Ndugu wa marehemu walisema hawamshtaki huyo askari wala kumuuliza chochote. Ila Kama atapenda aende akawaombe msamaha. Yule Askari akasema mwanajesh haombag msamaha. Imepita miezi minne Sasa yule mwanajeshi anaumwa yuko hoi Kila akikaa sehemu akinyanyuka nyama zinabaki alipokua amekaa. Mwil mzima vidonda
 
Usiniwekee maneno kinywani Kaka! Kwa Bahati mbaya hakuna aliyefanya uchunguzi kujua ukweli wa kilichosemwa! Lakini nasisitiza, Raia tuache dharau Kwa hawa jamaa, wanapitia Mambo magumu mno kuhakikisha Taifa liko salama!
Kama iq test una zero kabsa..
Umeongea nini apo.
Kama hayo mambo ni magumu yanakutia stress acha kazi,,
Uo ni ushenz tu aliofanya,
Hakuna reason yeyote ya kujustify unyama kama huo au wowote unaofanana na huo..
 
HIvi umewahi kuona wale maofisa wa jeshi wanagombana mtaani?
Vijana wadogo tu maofisa wastaarabu sana, hata wakifika kwenye huduma hupanga foleni na hawajitambulishi kuwa ni wajeda. Hawa la saba kila mahali anataka avae uniform mpaka msibani
Busara na elimu ni vitu tofauti sana
 
Kuna Askari huku ludewa alimpiga jamaa flani akimtuhumu kua alikua anamuibia mke Sasa jamaa alimpiga mpaka alifariki. Ndugu wa marehemu walisema hawamshtaki huyo askari wala kumuuliza chochote. Ila Kama atapenda aende akawaombe msamaha. Yule Askari akasema mwanajesh haombag msamaha. Imepita miezi minne Sasa yule mwanajeshi anaumwa yuko hoi Kila akikaa sehemu akinyanyuka nyama zinabaki alipokua amekaa. Mwil mzima vidonda
Hao jamaa ni zaidi ya nyoko
 
Huyo ni kumtoa tigo yake nje iwe kama mkia.
Ngese sana unaua mtu kisa kuku?
 
Kuna Askari huku ludewa alimpiga jamaa flani akimtuhumu kua alikua anamuibia mke Sasa jamaa alimpiga mpaka alifariki. Ndugu wa marehemu walisema hawamshtaki huyo askari wala kumuuliza chochote. Ila Kama atapenda aende akawaombe msamaha. Yule Askari akasema mwanajesh haombag msamaha. Imepita miezi minne Sasa yule mwanajeshi anaumwa yuko hoi Kila akikaa sehemu akinyanyuka nyama zinabaki alipokua amekaa. Mwil mzima vidonda
dadekiii jamaa kajifanya mjeda yakamkuta haijalishi una post gan UTU kwanza mengine yafuate
 
Kuna Askari huku ludewa alimpiga jamaa flani akimtuhumu kua alikua anamuibia mke Sasa jamaa alimpiga mpaka alifariki. Ndugu wa marehemu walisema hawamshtaki huyo askari wala kumuuliza chochote. Ila Kama atapenda aende akawaombe msamaha. Yule Askari akasema mwanajesh haombag msamaha. Imepita miezi minne Sasa yule mwanajeshi anaumwa yuko hoi Kila akikaa sehemu akinyanyuka nyama zinabaki alipokua amekaa. Mwil mzima vidonda
kwa hyo jamaa akikaa hapo hapo hamna kunyanyuka maana akinyanyuka hana nyama dah
 
Nimesikitika kwa mauaji haya.
Hili ni kosa kwa muajiriwa yeyote kwenye kada ya ulinzi na salama. Naamini sheria itachukua mkondo wake, na jeshi halihusiki katika kesi hii ndo maana huyo mwanajeshi ataachishwa kazi na ajitetee kuzingatia sheria za kazi/nchi. Baadhi ya wanajeshi wanalichafua jeshi kwa utovu wa nidhamu ilihali sheria za kazi zipo wazi.
 
Ifike wakati tuheshimu watu na kuacha kufanya vitendo vya kionevu hata kama tumewazidi wengine mamlaka.
Sasa hapo muonevu ni nani, mwizi au muuaji?

Mi huwa naona kuishi kwa haki na heshima ndiyo maisha yanavyotaka.

Wizi, dhulma, utapeli ndiyo kivutio kikuu chacwatu kujichukulia sheria mikononi.

Kuhukumu upande mmoja sipendi, maana yake ni kwamba, muuaji alipata motivate ya kutenda mauaji baada ya kughadhabishwa na dhulma.

Asingelikwiba huyo mzee mwenzangu, mauwaji yasingelitokea.
 
HIvi umewahi kuona wale maofisa wa jeshi wanagombana mtaani?
Vijana wadogo tu maofisa wastaarabu sana, hata wakifika kwenye huduma hupanga foleni na hawajitambulishi kuwa ni wajeda. Hawa la saba kila mahali anataka avae uniform mpaka msibani
kabisa yan wala hujakosea huku kwetu kuna mmoja huyo kwanza kabisa huwa hapendi kabisa watu wajue yeye ni nani na sare za Jeshi huwezi mkuta amevaa kitaa halafu anatembea kwa mguu yule jamaa akiwa anaenda kazin akirud ndiyo utabahatika kuona amevaa sare na hapo hadi uchungulie kwenye gari halafu sasa ni mtu wa kujichanganya na raia yaan hana shida ni mtu watu na began ana nyota zake 3 zimetulia
 
Nimesikitika kwa mauaji haya.
Hili ni kosa kwa muajiriwa yeyote kwenye kada ya ulinzi na salama. Naamini sheria itachukua mkondo wake, na jeshi halihusiki katika kesi hii ndo maana huyo mwanajeshi ataachishwa kazi na ajitetee kuzingatia sheria za kazi/nchi. Baadhi ya wanajeshi wanalichafua jeshi kwa utovu wa nidhamu ilihali sheria za kazi zipo wazi.
hawa baadhi wanaofanya haya matukio huwa hawajui sheria za jeshini ama vipi
 
Sasa hapo muonevu ni nani, mwizi au muuaji?

Mi huwa naona kuishi kwa haki na heshima ndiyo maisha yanavyotaka.

Wizi, dhulma, utapeli ndiyo kivutio kikuu chacwatu kujichukulia sheria mikononi.

Kuhukumu upande mmoja sipendi, maana yake ni kwamba, muuaji alipata motivate ya kutenda mauaji baada ya kughadhabishwa na dhulma.

Asingelikwiba huyo mzee mwenzangu, mauwaji yasingelitokea.
sawa wote wana makosa hata kama umeibiwa unachukuaje sheria mkononi bila kufuata taratibu??
 
Baba yangu aliwahi nambia: Mwanangu jitahidi sana uwe na pesa ukizikosa jifahidi uwe na madaraka ukikosa jitahidi sana uwe na uwezo wa kuongea kwa maana kujitetea linapotokea la kutokea mwisho akasema ukiona vyoote hivyo umekosa basi jitahidi kuwafahamu na kuwajua wahenga na wahenguzi.
Kwamba kama utaonewa kwa namna yoyote kwa maana umeonewa lakini njia zoote za haki zimefungwa ndo muda muafaka wa kubeba kuku kinyafu mweusi na kupanda nae kwa muhenga
 
eti kubeba kuku [emoji23][emoji23]
 
Sasa hapo muonevu ni nani, mwizi au muuaji?

Mi huwa naona kuishi kwa haki na heshima ndiyo maisha yanavyotaka.

Wizi, dhulma, utapeli ndiyo kivutio kikuu chacwatu kujichukulia sheria mikononi.

Kuhukumu upande mmoja sipendi, maana yake ni kwamba, muuaji alipata motivate ya kutenda mauaji baada ya kughadhabishwa na dhulma.

Asingelikwiba huyo mzee mwenzangu, mauwaji yasingelitokea.
Mkuu unavyoona adhabu aliyopewa inastahili kwa umri wake?
Askari angemchukulia hatua za kisheria ukafanyika na uchunguzi akalipwa mali yake kungekuwa na haja ya haya yote?
Mimi naona kutoa uhai wa mtu kwa makosa hayo kama hakuna ulazima, ni kujitafutia hatia zisizo na ulazima. Bora hata angefanya ujambazi na kuiba vitu vya thamani sawa, lakini kuku anatoa uhai wa mtu?
Haiingii akilini ndugu.
 
Back
Top Bottom