Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau wewe umetupa japo elim tumeelewa japo kidogoo samaleko shekhHao talibani kuna mambo wanafanya ambayo sio katika sheria za kiislamu kabisa au kinyume na uislamu,kama mtu anauona uislamu kupitia talibani hakika hatapata uislamu sahihi,hao asilimia kubwa mambo yao kama wanaharakati
Uislamu haujakataza wanawake kuongea na wanawake wenzao na wala si sunna ya Mtume wala maagizo ya Allah. Wake za Mtume tu walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia katika kuwaelekeza mambo fulani fulani ya dini,kama hiyo haikuruhusiwa je ilikuwaje wakeze wakafanya hivyo?
Kuhusu wanaume kunyoa nywele au ndefu wanaruhusiwa sana,ila si katika uislamu sijui kunyoa kiduku na stahili za ajabu ajabu,kama unaondoa nywele zote basi ondoa na kama unanyoa kawaida basi nyoa kwa heshima
Kuhusu kufuga ndevu hiyo ni sunna sio lazima kwa wanaume kufuga ndevu,ingawa ni bora kufuata sunna ya Mtume,binafsi nanyoa ndefu,sio agizo la lazima la dini
Kuhusu wanawake kwenda saluni,wanawake wanatakiwa kujipamba kwa ajili ya waume zao,wapendeze na wanoge,ila naona kuna namna labda hizo saluni zimeonekana ni sehemu ambazo kuna ajenda nyingine zinafanyika
Kuhusu wanawake kuongea kwenye redio au television,kwa mfano katika tv yapaswa mwanamke ajistiri anapokuwa hewani na si kuwa uchi kwa mujibu wa uislamu,kuhusu kuongea kwenye redio,hiyo hata huku Tanzania kuna redio moja Redio imani nayo kipindi fulani fulani walikataza lakini wakapewa hoja mbona wake za Mtume Muhammad (s.a.w) walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia,kwahiyo hapo hoja nzito ilipatikana
Kwahiyo si kila linalo fanywa na hivi vikundi vyenye misimamo mikali ni uislamu bali mengine ni taratibu zao binafsi
Asante
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
Taliban are not crazy, they have the correct interpretation of the Quran. That what the Quran teaches. Other teaching apart from that of Taliban are distorted teaching, false teaching.At the moment, Taliban is the most craziest regime in the world.
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha Kati ya Uislam na Ugaidi.Taliban are not crazy, they have the correct interpretation of the Quran. That what the Quran teaches. Other teaching apart from that of Taliban are distorted teaching, false teaching.
Uislamu ni nadhifu,miongoni mwa mambo ambayo tumesisitizwa ni kunyoa za huko chini na kwapaniSafi sana. Hiyo ndio dini wanayosema imetoka kwa Allah.
Watu wataishi kama shetani.
Na wasiponyoa nywele si watakuwa kama masokwe muda si mrefu?
Na huko chini sijui kutakuwaje nywele hizo!
Sasa hao jamaa wanaosema wasinyoe wametoa wapi hiyo kituUislamu ni nadhifu,miongoni mwa mambo ambayo tumesisitizwa ni kunyoa za huko chini na kwapani
Istoshe ni sunna kwetu kila ijumaa kukata kucha
Uzuri wa wa hawa jamaa ni wanafiki, hata pombe wanakunywa but kimya kimyaaa.🐖ivi inamaana Afghanistan yote hakuna ngurue hata mmoja ?
Kwanza bikra wameisha, Yahya Sinwar kawamaliziaa🤣🤣🤣Inshallah Taliban inatutunzia katika wale mabkra ambao Allah atatujalia siku ya kiyama
Tuseme inshallah
Natamani kusikia kwamba Faiza Fox na familia yake yote kabisa wamehamia nchini AfghanistanWale wenye msimamo mkali wanakaribishwa Afghanistan
Hawana ujanja.Hao wanawake kwanini wasikimbie hiyo nchi na kuwaachia wanaume peke yake?
Na upungufu wa akili. Huwezi kua mtu una akili zako timamu zinafanya kazi vizuri ukawa muumini wa mafundisho ya mtume, hakuna.Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha Kati ya Uislam na Ugaidi.
Option ya kuileta ni ngumu ila Option ya kuifuata ni rahisi.safi sanaa mazee dah...iletwe apa bongo tzzz