Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na hiyo avart yako hamna tofauti kabisa.Dini imemweka mwanamke katika daraja ya juu iliyo bora kabisa. Hapana dini nyingine popote duniani yenye viwango hivi vya ubora kwa mwanamke. Tatizo mnatazama kwa mtazamo hasi!
Tulia mwanamke wakiislam mbona povuhawa vichaa tu eti sheria za kiislam inamaana hizo sheria wanazijua wao tu ulimwenguni..eti mwanamke hana ruksa kuongea na mwanamke mwenzie il mumewe tu hawajiulizi kabla ya kuolewa si yupo kwa familia yake mama,bibi,Shangazi,dada zake wote hao marufuku kuongea nao.! sema hawa wajinga matamanio ya nafsi zao ndio wanafanya sheria za dini wakati ndani ya uislam wenyewe hamna hizo sheria kwahiyo wanaume hawana sheria
Wapuuzi waleSasa hao jamaa wanaosema wasinyoe wametoa wapi hiyo kitu
Unachoshindwa kuelewa ni kila nchi ina sheria zake, misimamo yake na maono yake, ukilijua hilo wala hutopata shida kikubwa ni kuheshimianaView attachment 3136467
Hii ni Popacabana Beach 🇧🇷 ingekuwa ni Nchi ya Kiislamu hawa Wanawake Wangebakwa kwasababu hawajavaa Hijabu za kuogelea.
Iran wakati wa Shah Reza Palhavi ilikuwa ni Secular, aliyelleta Serikali ya Kidini ni Ayatolah.Unachoshindwa kuelewa ni kila nchi ina sheria zake, misimamo yake na maono yake, ukilijua hilo wala hutopata shida kikubwa ni kuheshimiana