Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.

View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

Uislamu mgumu aisee
 
Hao Taleban lazima wanatumia bangi na aina nyingine ya madawa ya kulevya.Si bure.
Hapana, Taliban ndio wanaofuata mafundisho ya Dini ya Kiislamu kwa ufasaha.

Halafu wenyewe wataanza kuukimbia na kwenda Nchi za Magharibi kwa madai kwamba Islamic Sharia inawanyima Haki zao na wakishapewa Hifadhi wanaanza kuswali Mabarabarani na kudai Islamic Sharia katika Nchi za Europe.
 
Ina maana maadui wa dini ya kiislamu kwa wataleban ni wanawake tu?Maana kila kukicha wao na wanawake tu.
Uisilamu Orijino Mwanamke ni Object ya Starehe kupika kupakua kuzaa kujifungia ndani.

Wanadai akitoka Nje bila Hijabu Wanaume watashikwa na Nyege na kumbaka.

Dini nyingine zinahubiri Waumini wayashinde MATAMANIO katika NAFSI sio hivyo katika Uisilamu katika Uisilamu MATAMANIO yanazuiwa na Kitambaa "Hijabu".Gubigubi.

Ndio maana hata Mwezi wa Ramazani MATAMANIO ya KULA mchana yanazuiwa sio kwa NIA bali kwa KUFUNGA MILANGO ya MIGAHAWA😆

Matamanio yanatakiwa yazuiwe kwenye NAFSI.

7b70907c8631b55efba07f6af71e38cc.jpg

"Paranja" Gubigubi la Kiislamu.

Huyu 👇ni Mwanamke wa Kihimba Mke wa Mtu na hajawahi kubakwa na havai Hijabu.
himba-woman-is-carrying-her-child-holding-his-hand-2R41AK3.jpg
 
Uisilamu Orijino Mwanamke ni Object ya Starehe kupika kupakua kuzaa kujifungia ndani.

Wanadai akitoka Nje bila Hijabu Wanaume watashikwa na Nyege na kumbaka.

Dini nyingine zinahubiri Waumini wayashinde MATAMANIO katika NAFSI sio hivyo katika Uisilamu katika Uisilamu MATAMANIO yanazuiwa na Kitambaa "Hijabu".

Ndio maana hata Mwezi wa Ramazani MATAMANIO ya KULA mchana yanazuiwa sio kwa NIA bali kwa KUFUNGA MILANGO ya MIGAHAWA😆

Matamanio yanatakiwa yazuiwe kwenye NAFSI.

View attachment 3136439
Matamanio ya KULA huzuiwa kwa kuwapiga na kuwafunga jela wanaokutwa wanakula wakati huo.That is insane!😂😂😂
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.

View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

Huku ndio inafaa kwenda kuishi akina FaizaFoxy, Webabu, Kimsboy, Koshugi, Ritz, Big Show na wenzao. Nahisi wataenjoy sana!
 
Islam did it...............tena they want a Sharia............hivi miaka ile kibongo bongo pia si nilisikia mlikuwq mnaitaka Sharia?? Bado mnaitaka tuwape??........na Sharia kwa ulaya hata iweje haiwezi kutokea ..............
Mungu hapendi Utumwa
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.

View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

Safi sana hii, wanawake wanaongeaga umbea tu hadi wanachelewa kisimani.

Na huku Tanzania wapigwe marufuku tu. Safi sana Taleban.
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.

View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

Safi sana. Kesho wapige marufuku kujiangalia kwenye kioo, kesho kutwa wazuie mafuta, marashi na sabuni za kuogea zinazonukia, na baadae wapige marufuku hijab za rangirangi nk.
 
Back
Top Bottom