Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Angalau wewe umetupa japo elim tumeelewa japo kidogoo samaleko shekh
 
At the moment, Taliban is the most craziest regime in the world.
 
Safi sana. Hiyo ndio dini wanayosema imetoka kwa Allah.
Watu wataishi kama shetani.
Na wasiponyoa nywele si watakuwa kama masokwe muda si mrefu?
Na huko chini sijui kutakuwaje nywele hizo!
 
Safi sana. Hiyo ndio dini wanayosema imetoka kwa Allah.
Watu wataishi kama shetani.
Na wasiponyoa nywele si watakuwa kama masokwe muda si mrefu?
Na huko chini sijui kutakuwaje nywele hizo!
Uislamu ni nadhifu,miongoni mwa mambo ambayo tumesisitizwa ni kunyoa za huko chini na kwapani

Istoshe ni sunna kwetu kila ijumaa kukata kucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…