Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Safi sana. Kesho wapige marufuku kujiangalia kwenye kioo, kesho kutwa wazuie mafuta, marashi na sabuni za kuogea zinazonukia, na baadae wapige marufuku hijab za rangirangi nk.
Kati ya haya uliyoandika hakuna ambalo mke wako anafanya?
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.

View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

Hao Taliban wanafahamika akili hawana hata waislam hawafanyi wanachofanya wao.
Hamna kitu hao ni vichaa tu.
 
Kalibu kila nchi inayo fuata Sharia Law wanawake wananyanyasika sana.
Kila mtu anaelewa kinacho tokea Iran na Afghanistan dhidi ya wanawake.
We angalia fundisho kama hili linalo mdhalilisha mtoto wa kike kwa kumlinganisha na Mbwa mweusi na punda.

Jami` at-Tirmidhi 338
Abu Dharr said that :
Allah's Messenger said:

"When a man performs Salat, and there is nothing in front of him like the post of a saddle, or a camel saddle, then his Salat is severed by (passing of) a black dog, a woman, and a donkey."

It was said to Abu Dharr:

"What is the problem with the black dog rather than the red or white one?" He said: "
O my nephew! I asked Allah's Messenger just as you have asked me.
He said: 'The black dog is a Shaitan (devil).'"

Hivi kwa akili ya kawaida tu hili fundisho ni la Kimungu kweli ?
Na ndimo zinapo tokea Sharia Law.
Mnaowakataa watunga Sharia wa Afghanistan hamuijui vizuri hii Imani.
Ina mafundisho ya ajab ajab.
Eti ndio watu wanajilipua na wengine kuandamana ili Dunia ifuate haya mafundisho.
Mungu mwenyewe hawezi kuruhusu jambo kama hili kutokea katika Dunia yake.
 
Hao talibani kuna mambo wanafanya ambayo sio katika sheria za kiislamu kabisa au kinyume na uislamu,kama mtu anauona uislamu kupitia talibani hakika hatapata uislamu sahihi,hao asilimia kubwa mambo yao kama wanaharakati

Uislamu haujakataza wanawake kuongea na wanawake wenzao na wala si sunna ya Mtume wala maagizo ya Allah. Wake za Mtume tu walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia katika kuwaelekeza mambo fulani fulani ya dini,kama hiyo haikuruhusiwa je ilikuwaje wakeze wakafanya hivyo?

Kuhusu wanaume kunyoa nywele au ndefu wanaruhusiwa sana,ila si katika uislamu sijui kunyoa kiduku na stahili za ajabu ajabu,kama unaondoa nywele zote basi ondoa na kama unanyoa kawaida basi nyoa kwa heshima

Kuhusu kufuga ndevu hiyo ni sunna sio lazima kwa wanaume kufuga ndevu,ingawa ni bora kufuata sunna ya Mtume,binafsi nanyoa ndefu,sio agizo la lazima la dini

Kuhusu wanawake kwenda saluni,wanawake wanatakiwa kujipamba kwa ajili ya waume zao,wapendeze na wanoge,ila naona kuna namna labda hizo saluni zimeonekana ni sehemu ambazo kuna ajenda nyingine zinafanyika

Kuhusu wanawake kuongea kwenye redio au television,kwa mfano katika tv yapaswa mwanamke ajistiri anapokuwa hewani na si kuwa uchi kwa mujibu wa uislamu,kuhusu kuongea kwenye redio,hiyo hata huku Tanzania kuna redio moja Redio imani nayo kipindi fulani fulani walikataza lakini wakapewa hoja mbona wake za Mtume Muhammad (s.a.w) walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia,kwahiyo hapo hoja nzito ilipatikana

Kwahiyo si kila linalo fanywa na hivi vikundi vyenye misimamo mikali ni uislamu bali mengine ni taratibu zao binafsi

Asante
Uwongo! Taliban ndio wanaonesha sura halisi ya uislam
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.

View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

waendelee hivyo hivyo niko pamoja nao wanajua wanacho kifanya
 
Islam did it...............tena they want a Sharia............hivi miaka ile kibongo bongo pia si nilisikia mlikuwq mnaitaka Sharia?? Bado mnaitaka tuwape??........na Sharia kwa ulaya hata iweje haiwezi kutokea ..............
Wangese tu baada ya kupakwa mafuta ya PDidy wamebakia kuonea kina Mama wapuuzi hawa hivi kweli hawa dada zetu uilete hiyo sheria yao ya kimbuzi patakalika kweli?
 
Aaa wapi..!
Hata nzi hawezi kutua kwenye moto.

Kubazi wengi wanakimbilia nchi za makafri, hutaweza kusikia wakitamani kwenda kwenye nchi zinazoongozwa kwa sharia za Allah.
Wanaongoza kwa unafiki hawa mabwana na kiukweli wanaboa mno hapo ndio utaona sometimes mazayuni wapo sahihi kuwafutilia mbali hawa mafala
 
Wangese tu baada ya kupakwa mafuta ya PDidy wamebakia kuonea kina Mama wapuuzi hawa hivi kweli hawa dada zetu uilete hiyo sheria yao ya kimbuzi patakalika kweli?
Patatokea kishindo kama cha Iran..........wanawake tu wanaweza kupindua inchi wakireta hii Sharia yao hapo tanzania
 
Waswahili kujadili mambo yasiyo wahusu,they are very good,lkn mambo yanayo wahusu huwezi Kuta mtu hpo.

Tanzania or Africa Kwa ujumla ndio sehemu yenye majanga,Dunia inatambua hilo.

I guess,you could use most of your fucking time discuss yanayo wahusu na namna ya kuyatatua than that shit.

Maisha magumu,magonjwa,vita isiyo Isha(Congo DRC), mifumo mibaya ya kiuongozi,ufisadi,dhuruma na mengne mengi vyote vipo na mnaishi navyo just is part of your fucking life.
You must please your self
LoL.
 
Back
Top Bottom