Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

Wazee wa fursa wakiona marekani ileeeee.

Hivi unadhani USA wataruhusu hao watu kuingia nchini kwao? Hao wataachwa hapo hapo Qatar wapige vibarua.
na Qatar nao wataruhusu hao jamaa wabakie kwao? Watawatunzaje?
 
😀 😀 😀 hivi kumbe ishu ilikuwa ni dawa za kulevya? Mie nilidhani labda ni ishu za USAvs Urusi, kwamba wameweka kambi ili Warusi wasisogee pande zile?
 
Kama wanaakili hizi za kukaa juu ya mwewe basi kuna ambao waliingia kwenye injini kabisa wakihisi ni mahala salama.
 
Kuna baadhi watatia mguu Unyamwezini.
Wazee wa fursa wakiona marekani ileeeee.

Hivi unadhani USA wataruhusu hao watu kuingia nchini kwao? Hao wataachwa hapo hapo Qatar wapige vibarua.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hivi kumbe ishu ilikuwa ni dawa za kulevya? Mie nilidhani labda ni ishu za USAvs Urusi, kwamba wameweka kambi ili Warusi wasisogee pande zile?

95% ya madawa yanayoingia Ulaya yanatoka Afghanistan

Unafikiria kwanini wamekaa hapo kuna biashara kubwa sana na UK ndio wanaongoza maana wapo sehemu inayolimwa zaidi Afghan nzima huko Helmand province
 
Hiyo ndege imekuwa ya mwendokasi sasa, maana limebeba uzito x5 ya kawaida yake

Na rubani akakubali na ikapaa du

Kuna movie zingine hazihitaji popcorns kabisa [emoji23][emoji23]
Hio midege si inabebaga Vitu vizito viziti , sembuse hao waarabu 600 mkuu
Sasa mtu amekaa juu ya ndege inamaana hajui kama ataanguka.? Au ndo kichwani socket imechomoka
Hata mi nmejiuliza tangu jana [emoji23]
ila wakuu vita ni mbaya sana
 
Hio midege si inabebaga Vitu vizito viziti , sembuse hao waarabu 600 mkuuHata mi nmejiuliza tangu jana [emoji23]
ila wakuu vita ni mbaya sana

Na mimi nilishangaa ila kuna mdau amesahihisha
Ila hao sio waarabu [emoji23]
Ni jamii ya wapakistan huko
 
Na mimi nilishangaa ila kuna mdau amesahihisha
Ila hao sio waarabu [emoji23]
Ni jamii ya wapakistan huko
Ndo hao hao tu uzito mmoja Siunajua wenzetu huko hakuna kulala hata mda wa kunenepa hamna sio kama huku ukutane na Ndugu zetu majabali ya Kinyakyusa/ Wasukuma nk tukifika 600 Inakua kidogo kama vifaru kadhaa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ndo hao hao tu uzito mmoja Siunajua wenzetu huko hakuna kulala hata mda wa kunenepa hamna sio kama huku ukutane na Ndugu zetu majabali ya Kinyakyusa/ Wasukuma nk tukifika 600 Inakua kidogo kama vifaru kadhaa [emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hapo Qatar wataondolewa tu watarudishwa kwao wakapambane na Taliban.. bakora mia mia zitawahusu
 
Kazi Sana, yaani amani kitu kizuri Sana! Popote ulipo linda amani ya taifa lako[emoji120][emoji120]
Wavunjifu wa amani ni viongozi wetu,hasa pale wanapotunyonya sisi watu wa hali ya chini, Matharani ongezeko la tozo kwenye miamala ya simu, Ongezeko la bei za mafuta,Polisi kukamata watu ovyo na kisha kuwabambikizia kesi,Kutoheshimu nyumba za ibada hata kukamata watu ndani ya nyumba za ibada,na mengine mengi ya hovyo na yanayonuka.
 
Kwa kituko hichi
Madirector wa movie hollywood lazima watoke na script apa 🎬🎬🎬📺📺
Watu wanavombania ndege kama wanagombania mwendokasi duh
 
Hao Ni wamarekani wamevaa wigi nyeusi,Na makeup ili waonekane kama Ni waarabu .... propaganda Za USA hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…