Wazazi lazima wajue kama ndiyo policy ya serikali, siyo kila mwalimu anafanya analofikiria bila mwongozo.Katika saikolojia kuna kitu kinaitwa attention span hicho ndo kinatofautisha kizazi cha sasa na zamani kwani kizazi cha zamani walikuwa wanatumia muda mchache kujifunza na kuelewa kwani attention span yao ilikuwa kubwa ila watoto wasasa wanajifunza kwa wakati mwingi na nguvu kubwa sababu attention span yao ni ndogo.
Mi shule zote nilisoma siku 5 tu
Hao wanakaririshwa kujibu mitihani
Uswahili unaletaje zeros!?Misugusugu si Kama Tanga tu,uswahili mwingi,so walimu lazima wajiongeze ili kufuta zeros
Ifikie wakati tutambue zama zimebadilika na mbinu nazo zimebadilika na na kizazi nacho kimebadilika hivyoo serikali nayo ibadilishe mfumo wa elimuKuna mwalimu anaitwa yusuph pangoma yule anayetrend
Swali langu ni je na zamani mlikuwa mnasoma kama anavofundisha yule mwalimu
Suala siyo policy,walimu mikoa mingi wamepewa ultimatum ya matokea ya la7, hivyo wanayofanya ni katika kurescue situation.Ndiyo policy ya Elimu? haya ya kujitungia walimu is not acceptable! kama hawawezi kufudisha Monday to friday, basi waache.
Kwa utaratibu upi? wa kujitungia au ndiyo policy ya Elimu? Siyo mwalimu anaamua kuwatoza watoto hela bila kuwa na utaratibu hela inakwenda wapi na kwa ruhusa ya nani? Watoto wasome mpaka Ijumaa, jmosi wawaache watoto wapumzike na may be kuwasaidia wazazi. Elimu haiwi hivyo kuwashindiulia watot kuzidi uwezo wao.Tanga watoto wengi vichwa ngumu aka uelewa hafifu so walimu wanahitaj nguvu ya ziada ili shule ipate matokeo mazuri
Uswahili kwa maana ya utamaduni wa kupenda shule kwa watoto na Jamii husika kuzingatia elimu uko chini so lazima zeros zije,upo nyonyo?😅Uswahili unaletaje zeros!?
Yaani kila mwalimu anaamua la kwake? Hapana! Watoto wanafika nyumbani saa moja eti wanafundishwa. Fundisha yale yanayowezekana muda uliopangwa!Suala siyo policy,walimu mikoa mingi wamepewa ultimatum ya matokea ya la7, hivyo wanayofanya ni katika kurescue situation.
Walimu wanafanya kwa maelekezo ya wakuu wao na sio kwamba wakuu hawaoni ila ndo wanaona ni njia sahihi ya kusaidia kizazi chetu cha mabroilerWazazi lazima wajue kama ndiyo policy ya serikali, siyo kila mwalimu anafanya analofikiria bila mwongozo.
Yaani kila mwalimu anaamua la kwake? Hapana! Watoto wanafika nyumbani saa moja eti wanafundishwa. Fundisha yale yanayowezekana muda uliopangwa!
Shida ni mfumo wa elimu yetu una mapungufu mengi sanaKwa primary mtoto wala hahitaji kujua mambo mengi sana. Akijua kusoma na kuandika na baadh ya vitu muhimu inatosha. Secondary kuendelea ndo muhimu
Ndio maana mnaambiwa mchangie chakula ili mtoto ale shuleni Nyie mnakaza shingo.. muache mtoto ashinde shule aepukane na makundi hatarishi. Elimu ghalama..Waalimu wengi vichwa maji, mtoto unamfundisha saa 11 jioni ana njaa ataelewa nini
Ndo maana watu wanazarau waalimu
Naamini na wewe umesoma, je mtoto anaweza kufundishwa masaa 10 mfululizo akawa anaelewa?Ndio maana mnaambiwa mchangie chakula ili mtoto ale shuleni Nyie mnakaza shingo.. muache mtoto ashinde shule aepukane na makundi hatarishi. Elimu ghalama..
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Sasa hv kuna private wanafundisha kwa mtaala wa cambridge na watoto hao ni wa kitanzania(wazazi wanaoelewa maana ya elimu bora haoni tabu kumgharamia mtoto wake ili apate elimu bora)Kweli nimesoma hii thread adi roho inauma wacha shule za private zitubuluze tu
Naamini na wewe umesoma, je mtoto anaweza kufundishwa masaa 10 mfululizo akawa anaelewa?
Je o-level kuna content ndefu kiasi gani kumfanya mwanafunzi aende shule saa 12 na kurudi saa 12?
Makundi hatarishi ni mazingira unayomlea mwanao,
Wewe acha hizo mambo! Nadhani kila mtu hapa amesoma, hamna cha kusaidia wala cha rafiki yake na kusaidia, mtoto anatakiwa kupumzika siyo kila mara anasoma, we angalia ule muda rasmi tu wa wanafunzi kuwa shuleni yaani saa mbili hadi saa tisa na nusu, unakuta wanafunzi wengi wamepiga usingizi, sasa uje uwasomeshe mpaka saa 12 jioni kuna wa kuelewa hapo!! Acheni utaniWazazi sijui mnataka nini? Watoto wakifeli mnalalamika waalimu wakiwasaidia watoto kujiandaa na mitihani mnalalamika. Hizo shule za private mnaona wanavyoandaa watoto na mitihani. Watoto hao wa private wanashindana na hao watoto wenu.
Wazazi msipende vya bure wajibika kwa elimu ya mtoto wako kughalamia shilingi elfu tatu kwa wiki kwa ajili ya elimu ya mtotk wako unaona ni gharama?
Unataka mwalimu afanye kazi ya ziada lakini usimlipe. Wasikilizeni wana siasa wenyewe watoto wao wako private wanawalipia wewe wanakudanganya.