HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Dar hela ipo na inaweza patikana kirahisiNjoo dar Kila siku 500,Alhamis 1500 au j1
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar hela ipo na inaweza patikana kirahisiNjoo dar Kila siku 500,Alhamis 1500 au j1
Ajabu wanachapwa...Kuna wakati ujeuri kidogo unatakiwa.
Kama usipompeleka siku za Jumamosi itakuwaje??? Unaweza kuamua apumzike ili pia aweze ku-digest hayo anayofundishwa Monday - Friday.
Wanachapika mnooKuna wakati ujeuri kidogo unatakiwa.
Kama usipompeleka siku za Jumamosi itakuwaje??? Unaweza kuamua apumzike ili pia aweze ku-digest hayo anayofundishwa Monday - Friday.
Tena vzr sanaAjabu wanachapwa...
Mungu anawaona walimuTena vzr sana
Huku mwisho sijakuelewa mkuu,,,maana Hiki wanachokifanya hawa walimu kilifanyika hata kabla Serikali haijatangaza Elimu Bure, wanafunzi walikuwa wanatoa hela ili wasome masomo ya Ziada,,,, na unakuta mwalimu haingii kipindi chake cha kawaida ambacho kinafanya alipe mshahara ila anawaambia wanafunzi walipe kiasi cha hela ili afundishe muda wa ziada,,, so huu ukilitimba uliafanyika kabla hata Serikali haijatangaza Elimu Bure,,, Sanasana ilikuwa Shule za mijini ndiyo zinafanya huu ukilitimba.Nitajaribu kujibu hoja.
1. Hizo pesa unaona wanwlipishwa haziendi kwa mwalimu bali ni gharama za kutolea copy za mitihani wanayofanya.
2. Kwanini kila siku mitihani asubuhi? Wanafanya mitihani kila siku asubuhi kwa lengo la kuwafanya watoto wapate hari ya kujisomea wanapokuwa nyumbani au shuleni kwasababu anajua kila siku ana mitihani asubuhi na weekend (Jumamosi)
3. Kwanini jumamosi wanalipa 1200?
Hiyo 1200 ni gharama ya kutoa copy ya mitihani yote 6 watakayofanya kwa siku husika.
4. Kwanini watoto wanasoma masaa mengi na siku nyingi wakati Sisi enzi zetu tulikuwa tunasoma muda wa kawaida lakini tulikuwa tunafaulu.
Watoto wa siku hizi asilimia kubwa wanazaliwa na wazazi wenye IQ ndogo kutokana na mfumo wa maisha (life style) kama vile vyakula na madawa tunayotumia yanaharibu sana genetic makeup ya watoto wa siku hizi.
Pili, vyakula wanavyokula watoto wenyewe, devices wanazotumia kama refreshment, madawa ya binadamu. Tabia za wazazi na watu mtaani zinawafanya watoto wachanganyikiwe kabisa na kushindwa kujua washike kipi waache kipi.
KWANINI HII MICHANGO IPO MASHULENI?
Kwasababu serikali inashindwa kutoa pesa za kuendeleza taaluma hivyo lazima mzazi agharamikie kutoa pesa fulani ili lengo la kufikia ufaulu wa asilimia 100 lifamikiwe. Mwalimu hawezi kutoa pesa mfukoni ili atoe copy za mitihani. Waambieni serikali warudishe Ada, hela ya taaluma, tahadhari etc. Muone kama mtaombwa kuchangia hata senti moja.
Unayaona hawa wanaokupinga hivi. Ndiyo hivihivi inavyotokea kwenye sekta ya afya, wanajua kila kitu kinaendeshwa kwakufuata policy za serikari wakati kazi ya serikari bila extra efforts au ukiamua kufuata policy totally hutafanikisha chochote na watakaoumia ni wao wenyewe wananchi. Wanavyoongopewa na wanasiasa wanayabeba matamko kama yalivyo wakati hali ni ya tofauti, mwanasiasa ni muongo ila watanzania nao wanapenda sana kuongopewa wakijua kila kitu serikari inaweza kuingia gharama kubwa kwasababu yao. Nchi ngumu hiiNarudia hayo yanafanyika kwa kua background ya hao watoto ni duni,na walimu wamepewa kiwango Cha ufaulu so wanachofanya ni kurescue the situation,at least ziro zipungue,hawana namna.nadhani concern yako ni pesa wanayotoza,wanahitaj motisha pia[emoji28]so wangefanya bure isingekuwa issue eti?
Nashindwa kuelewa kwanini mtoa mada hakuelewa hichi kitu. Yaani hakufikiria underlying cause ni nini! Madarasa yapo kama 8 huku tena yamegawanywa tena kiherufi kwakila darasa na kila mwaka serijari lazima iweke target goals mtumishi lazima afikishe lakini mwananchi hujali yanaowahusu wao tu na kumlaumu mtumishi sio serikari. Sasa watu 4 watafundisha watoto wote hao.Tatizo lingine shule za msingi Zina uhaba mkubwa sana wa walimu
Shule nyingi Zina walimu kuanzia 4 Hadi 6.wakati shule Kuna darasa la awali Hadi la Saba.
Yaani watanzania hawaelewagi kabisa hili kuwa extra efforts ni mtu kajitoa. Policy za serikari zikifuatwa watatukana kila taasisi na idara ya serikari, ila hawajuagi kabisa.Siku nikipata ajirabyenyewe hii,nifuata utaratibu wa serikali tu. Haya mambo mengine nitaonekana najipendekeza tu
Yaani watanzania kwaujumla wanapenda tu malalamiko yasiyokuwa na msingi. Kwaujumla hawajui jinsi ya kuchambua tatizo na kujua mzizi hasa ni nini. Kazi kulalamika, hapo ndipo ninapoona kweli utu uzima sikuizi sio dawa.Kwa uwingi wa watoto kwa darasa moja pale Olympio na level ya ufaulu wanayopata ni sahihi kabisa njia wanayotumia.Niliangalia matokeo darasa la saba Olympio darasa lina wahitimu zaidi ya 600.Ndiyo maana wazazi wengi wanapeleka watoto wao hapo maana ni nafuu na bado inashindana na shule nyingi za Private zenye ada kubwa.
Walau Wazazi tu appreciate juhudi za walimu kuwapatia elimu watoto wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ya sekta ya afya usoyoyajua bora usiyaongelee tu chief. Hamna mtumishi wa serikari anaishi maisha mazuri jua hilo. Nenda kawe daktari kwanza uue halafu ndio tujaribu kujua utafanywa nini[emoji23][emoji23][emoji23].Kimsing hii KPI ina changamoto zake, walimu wamejaza mkataba Kwa kufaulisha Zaid ya 50% huku mazingira hayaruhusu. Najiulizaga Daktar akiua mgonjwa anafanywa nini? kwanini mwalim apewe mkataba wa kufaulisha, Kwan kufaulu ni issue ya mwalim peke yake?