Kubali kafeli ni kwamba kuna stadi hajazimasta inawezakua ni kusoma au kuandika,
Wazazi tukubali kuinvest kwenye elimu,kama vile unavyokua na shamba na unaweka mbolea,unapulizia dawa ili mwishoni uvune vizuri na elimu ndivyo inavyotaka,tuwekeze kwa watoto kwa mfano kama huu wa kilimo
Serikali ni mastermind sana,elimu wameweka iwe bure ili mtoto akifeli usifeel pain sababu kwanza hukuwekeza chochote kwahyo utaona ni sawa,
Elimu sasa inakwenda kua ni kwa ajili ya watu wachache not for all,Ndio maana Baraza la mitihani limefuta kumi bora na kumi dhaifu kitaifa hii maana yake inaenda kufuta kufundisha kwa ubora,walimu watarelax katika ufundishaji, wale wataofaulu na watakaofeli hakuna ambae atauliza,kwani vigezo vya kufauli vipo tofauti,huwezi kusema shule hii dhaifu wakt mazingira yake yanaonesha imejitahidi sana.
Lakini serikali imekua ikitenga bajeti kubwa ya madarasa kila mwaka,sababu watoto wanaofaulu ni wengi ndio maana imefuta competition ili watoto wafaulu wachache,lakini vyuo vikuu bajeti ya mikopo nayo ni kubwa na inaongezeka kila mwaka,serikali ikaona bora ipunguze ufaulu ili bajeti iwe minimal
Wazazi elimu sasa hivi sio ya kila mtu,usikute miaka ya mbele huko wasomi wataofika vyuo vikuu mkoa wa Tanga wasifike 500 mkoa mzima kwa mwaka, kwahyo kama mzazi unatakiwa kuokoa kizazi chako.