Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu kwa kutupa mfano hai,we zonda majibu ya quote yako haya hapa 🙏naomba pia usiniquote Tena kwani tumepishana Sana uelewa,bye🙏🏃Mim si mkazi wa Tanga ila nimebahatika elimu yangu ya advance nimeipatia huko so nina idea kidogo na mazingira ya kielimu ya mkoa wa tanga.
Point kubwa kubwa inayofanya shule nyingi kuwa na matokeo mabovu ni maisha ya tanga kwa ujumla na bila ya kuwa na akili ya ziada elimu ya chuo kikuu ningeisikia kwenye radio
According to my research watoto wengi wakitanga wameendekeza mapenzi, vigodoro, baikoko, uvivu na vingine kama hivyoo
Basi ngoja tuiforward kwa Mkenda, WaziriWalimu wanafanya kwa maelekezo ya wakuu wao na sio kwamba wakuu hawaoni ila ndo wanaona ni njia sahihi ya kusaidia kizazi chetu cha mabroiler
Waziri wao alishatoa maelekezo labda kiburi chao walimu1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi.
2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au ni invention ya walimu kwamba kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?
3. Mtoto anarudi saa 11 jioni. na break ya saa nne ni kama haipo maana wanapewa dakika 5 kwenda kujisaidia. Shule inafungwa saa ngapi?
4. Wazazi tujue shule inafungwa saa ngapi tuweze kuwafuatilia watoto vema kama wanafika nyumbani inavyotakiwa.
OMBI: Waacheni watoto Jumamosi wapumzike na kuwasaidia wazazi.
basi nitaliforward kwa waziri! Wawaache watoto wasome muda uliopangwa na serikali. kama kufeli wacha wafeliWaziri wao alishatoa maelekezo labda kiburi chao walimu
Kama umemuelewa mtoa mada ni analalamika kihusu hela ndio maana ameweka na gharama.Wewe acha hizo mambo! Nadhani kila mtu hapa amesoma, hamna cha kusaidia wala cha rafiki yake na kusaidia, mtoto anatakiwa kupumzika siyo kila mara anasoma, we angalia ule muda rasmi tu wa wanafunzi kuwa shuleni yaani saa mbili hadi saa tisa na nusu, unakuta wanafunzi wengi wamepiga usingizi, sasa uje uwasomeshe mpaka saa 12 jioni kuna wa kuelewa hapo!! Acheni utani
Somesheni watoto na jitoeni kwa watoto wenu ili nao waje kufanya kazi za maana na sio UALIMU, POLISI AU JWTZ.1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi.
2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au ni invention ya walimu kwamba kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?
3. Mtoto anarudi saa 11 jioni. na break ya saa nne ni kama haipo maana wanapewa dakika 5 kwenda kujisaidia. Shule inafungwa saa ngapi?
4. Wazazi tujue shule inafungwa saa ngapi tuweze kuwafuatilia watoto vema kama wanafika nyumbani inavyotakiwa.
OMBI: Waacheni watoto Jumamosi wapumzike na kuwasaidia wazazi.
hili jambo huwa naliwaza na kulisema kila siku. Nimesoma msingi miaka ya 90. Tuliingia shule saa 2 mpaka saa 8 na hii ilikuwa ni Jumatatu mpaka Ijumaa, darasa la kwanza mpaka la saba.
Sasa najiuliza leo wanafundishwa nini cha ziada kiasi kuwekwa mashule mpaka saa 1 usiku, Jumapili wanakwenda shule pia. Matokeo yakitoka na uoza ule ule.
Achana na kusoma kwangu.. hakuna mtoto anayefundishwa masaa Kumi.. kuna ratiba ambayo inamapumziko na watoto wanabaki shule na wanakula chakula shuleni....Naamini na wewe umesoma, je mtoto anaweza kufundishwa masaa 10 mfululizo akawa anaelewa?
Je o-level kuna content ndefu kiasi gani kumfanya mwanafunzi aende shule saa 12 na kurudi saa 12?
Makundi hatarishi ni mazingira unayomlea mwanao,
Yule jamaa amezidisha mbwembwe mno, ule sio ufundishaji unaotakiwaKuna mwalimu anaitwa yusuph pangoma yule anayetrend
Swali langu ni je na zamani mlikuwa mnasoma kama anavofundisha yule mwalimu
Jibu hoja, matusi yanini? Umetukana sana wartu wa hapa, I guess it might be you are one those benefiting from this stupid type of timetable!Wazaz wa Tanga inaonekana wapumbavu sana ndiyo maana elimu kwenu ni duni sana, walimu wanataka kuwasaidia watoto wenu kwajili ya maisha ya baadae nyie mnaona wanawaonea na kuwala pesa... Upumbav mtupu ndio maana mkoa umejaa mashoga kila mtaa...
Sawa mke wangu mtamJibu hoja, matusi yanini? Umetukana sana wartu wa hapa, I guess it might be you are one those benefiting from this stupid type of timetable!
Mwisho basi kama kutukana ni kwema nami nasema acha matusi, inawezekana ukoo wenu wote m-mashoga!