Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.


Mnatishia watu kwa kuwa mnaamini wenye mamlaka huko Wizara ya Fedha na TRA mmewaweka upande wenu.

Mlipokuwa mnaandika hii barua hamkujua mlikuwa mnataka kulipwa pesa zenu kwanza ndiyo mlipe madeni?
 
Aisee kweli no erection no party....sasa jamani msipocheza mechi sie wazee wa erection = party mnataka kutukosesha raha ya kubambia misambwanda ya mishangazi ya simba na yanga....😭😭😭😭😭😭
 
Nas3ma hivi mie mzabzab kama backbencher maarufu.
Muhasibu yoyote yule hapa jf mwenye coa yake aje atupe ufafanuzi kuhusiana na tarafibu za kukatana madeni juu kwa juu. Je nduo taratibu za kifedha zilivyo?
Au muhusika analipwa kwanza hela zake za ushindi alafu anatumiwa memo kuwa anadaiwa hivyo alipe deni....tuelewesheni basi wasomi wetu
 
Inategemea na makubaliano kati ya mdaiwa na mdai.
 
Wanadekaje labda? Kuna taasisi inafanya kazi kwa maneno matupu bila barua
Hiyo ni taasisi mnayofanya nayo kazi, kiprofessional na hatua ya kwanza mngekaa nao kikao na kila mmoja ataeleza madai yake na ushahidi halafu minutes inaandaliwa na kusainiwa. Chakushangaza viongozi wenu wanaenda jinsi mashabiki maandazi wanavyotaka.
 
Mambo yameanza ata tarehe bado kweli utachezwa kwa style hii
 
Watu wanataka risiti wanazo sema wanawadai yanga na walilipa madeni ya Yanga. Yanga ameshakabidhi risiti zake zote za madeni yake 426m.Tena Yanga wanataka kufanya reconciliation mbele ya TRA. TFF kama kawa anataka wazungumze, hekima na busara zitawale kama kawa,maswala ya kuweka risiti mezani hataki na Yanga hekima na busara hawataki, wanataka kiutaalam zaidi.
 
Sawa ila siyo hiyo mliyotuambia. Mmeambiwa muende mpate mchanganuo ila kwa kuwa mnajua ukweli mnakwepakwepa.
Kinachonisikitisha na yanga kusema hawajalipwa za misimu yote mi3 ya nyuma ila wanadai ya msimu jana tu.
 
Udhamini wa zaidi ya milion 200 haimaanishi ndo zawadi kwa bingwa wa michuano. Nafikiri vilabu kama wanaingia mashindanoni bila kujua stahiki zao kuanzia wanapoanzza hadi kutamatisha basi vilabu vinaongozwa na wapumbavu.
 
Kinachonisikitisha na yanga kusema hawajalipwa za misimu yote mi3 ya nyuma ila wanadai ya msimu jana tu.
Ni wazushi ndiyo maana mtu ukituliza akili ukawasikiliza mambo wanayosema utagundua kuna uongo mwingi ndani yake. Jana niliongelea kuhusu Yanga kuamua kusambaza fitna kama silaha yao dhidi ya TFF na Bodi ya Ligi. Nia yao kuwachafua TFF na Bodi ili hii pressure waamue mambo yasiwe mengi, wabadili msimamo wao kuhusu derby.
 
HUYU NAYE NI KILAZA KWELI KWELI!
HV ANAJUA MAWASILIANO YA KIOFISI YANAVYOFANYIKA?
Kama jambo halihitaji kuandikiana barua? Si kila mawasiliano yanahitaji barua, vingine vinahtaji kuelezeana! Unauliza, unajibiwa n.k sasa unaitwa ofsini unakalia eti nitumieni barua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…