Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

Udhamini wa zaidi ya milion 200 haimaanishi ndo zawadi kwa bingwa wa michuano. Nafikiri vilabu kama wanaingia mashindanoni bila kujua stahiki zao kuanzia wanapoanzza hadi kutamatisha basi vilabu vinaongozwa na wapumbavu.
Vipi katika hayo mashindano pesa za viingilio hakuna? Haki za matangazo vipi, TFF yeye mwenyewe hatoi bonasi?
 
Bado idadi ni Ile Ile watu wawili tu ndio wako timamu
 
Reactions: Tui
Kama jambo halihitaji kuandikiana barua? Si kila mawasiliano yanahitaji barua, vingine vinahtaji kuelezeana! Unauliza, unajibiwa n.k sasa unaitwa ofsini unakalia eti nitumieni barua.
Si ni jana sijui juzi walikuwa kwenye kikao na Bodi? Mbona hawakuwaambia Bodi hawaji waandikiwe barua?
 
Kama jambo halihitaji kuandikiana barua? Si kila mawasiliano yanahitaji barua, vingine vinahtaji kuelezeana! Unauliza, unajibiwa n.k sasa unaitwa ofsini unakalia eti nitumieni barua.
NDUGU, TFF NA NDUGU ZAO WA BODI YA LIGI HAWAAMINIKI, INATAKIWA KILA KITU KIWEKWE KWENYE KUMBUKUMBU!
 
Vipi katika hayo mashindano pesa za viingilio hakuna? Haki za matangazo vipi, TFF yeye mwenyewe hatoi bonasi?
Tff atoe bonus kwa vyanzo gani? Ndo yalikuwa makubaliano kabla ya mashindano kuwa tff itatoa bonus? Kitu ambacho hakikuwepo kwenye makubaliano b4 usikidai after
 
Kama jambo halihitaji kuandikiana barua? Si kila mawasiliano yanahitaji barua, vingine vinahtaji kuelezeana! Unauliza, unajibiwa n.k sasa unaitwa ofsini unakalia eti nitumieni barua.
Inategemea na jambo lenyewe, kama malipo hapo lazima documents zitembee. Hata hayo mzungumzo baadae huwekwa kwenye maandishi ushajiuliza kwa nini?

Unasema umewakata na kuwadai, weka documents zako mezani,kama alizofanya mwenzako mfanye mambo kiuhasibu zaidi unataka mzungumze. Sasa mzungumze nini wakati jana ulisema unawadai, hapo ndio ujue TFF transparency, hawataki bado wanataka hekima na busara.
 
Yanga ni timu yangu lakini inajidharilisha sana. Kama kweli tunadai kwanini tumekataa kukaa pamoja kufanya reconciliation?
Yanga hajakataa tena yupo tayari kukaa mezani hata na wataalam wa auditing kutoka TRA.Yanga kakabidhi risiti zote za madai, akawaomba TFF watoe zao wafanye reconciliation. TFF wanataka wayazungumze, sasa wazungumze nini na jana walisema wanawadai Yanga. Tuachane hizi hekima na busara, tufanye mambo kiutalaam zaidi, Yanga wameenda mbali mpaka kuomba wakae chini na wataalam wa auditing kwa ajili ya kufanya reconciliation, bado TFF wanataka wakae mezani. Sasa wakae mezani kufanya nini, wakati jambo linahitaji wataalam na risiti zao liishe.
 
Kwenye mikataba, pesa haigawanywi sawa kila mwaka
Upo sahihi.
Kwa Mkataba husika pesa nyingi imeandikwa itatolewa mwaka wa tatu wa mkataba.
Mwaka wa kwanza katikati ya mashindano CRDB walipoingia Mkataba wa udhamini walilipa hiyo 250M.
 
Mbona hamdai za miaka miwili ya nyuma mnakomaa na za mwaka uliopita wakt mmesema hamkulipwa since 2022
 
Huyu Ndimbo ni mjinga mno. Taasisi zikikutana lazima kuwe na maandishi ya kilichoongelewa. Taasisi kama TFF na Yanga lazima zifanye kazi kwa maandishi.
Ndio maana kunakuwa na Agenda za mkutano na yaliokubaliwa na mengineyo
 
Hii nchi inavilaza wengi na wengi wao hawana kazi na wenye kazi wanaendeshwa na ushabiki. Hichi ndio TFF alichotaka na ndio Kila muungwana angefanya Ili sintofahamu iishe. Lkn kwa vile mashabiki wengi ni oya oya a.k.a Wala mihogo na mbumbumbu hawawezi kukuelewa. Hii nchi inahitaji Reform Kila pahala.
 
Tff aka kichefuchefu hizo pesa za yanga mtazitapika.
Inaingia akili kwamba mmempa yanga pesa bila maandishi, kweli?
 
Uko sahihi lakini usiwe unadandia treni kwa mbele kwenye vitu usivyovijua,,yanga wamewaandikia Kila wanachodai na invoice zote wamepewa sasa na wao tff wawasilishe kimaandishi madeni wanayowadai yanga kimaandishi ili walipwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…