African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Hata mwaka jana target ya kwanza ilikuwa makundi Shirikisho lakini yaliyotokea hamkuamini.
we huna akili, uliweka target ya kwanza makund shirikisho wakati hyo unayoisema kwanza ulikuwa CAFCL na ukafuzu raund ya kwanza kwa goli tisa au umechanganyikiwa maana haiwezekan uwe umesahau leo tu

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Hv unadhani aliyewaita utopwinyo alikosea
 
Hv unadhani aliyewaita utopwinyo alikosea????
 
Pole sana mkuu … huu msiba sijui mtazika au mtasafirisha
Kutoka 2018 mpaka leo tumekutana mara 4 na Al Ahly

Kashinda mara mbili

Nimeshinda mara mbili.

Na kikosi nilichonacho msimu huu sina wasiwasi wowote na timu yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…