Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1758262495762.png

Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.

Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani ataapishwa kuwa Rais ni lazima awe mwananchi.
 
Hata Tanzania inawezekana, ukweli CCM wanaujua wakiweka fair election ni asubuhi tu wanaondoka madarakani. Hawa kina mwajuma, busungu, gombo, mwalimu, kinje na wenzao wengine si wapinzani wa kweli, ni vikaragosi tu pro ccm. Mpinzani wa kweli ni yule mjuba aliyeko ndani akisoteshwa kwa kesi za kubuma ili tu muda wa uchaguzi upite. Yule mjuba akigombea na ccm inaenda na maji mazima, si vibaya ccm nacho kuwa chama cha upinzani kama MCP ya Malawi, chama kikongwe lakini kinakubali kushindwa
 
MCP ni chama kilichopigania uhuru wa Malawi lakini kinakubali kushindwa, CCM nayo ikubali kushindwa endapo haitapata kura za ushindi. Tatizo hakuna chama cha upinzani kinachogombea uchaguzi huu, vinavyogombea ni magumashi matupu
 
Back
Top Bottom