Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

katika nchi chache za afrika zenye tume za uchaguzi walau wa kuziita huru ni Zambia,Malawi,Ghana,Botswana na Kenya hawa ndio kidogo kuwa wanafanya uchaguzi kwenye nchi zao na matokeo ya wananchi yakiheshimiwa.
 
Hata CDM nao bado hawana utayari wa kutawala Tanzania. Kiongozi mropokaji na mwenye jazba kama Lissu hawezi kuwa Rais Tanzania. Labda mtuletee John Mnyika
Kwa mara ya kwanza nakubakiana na wewe, hivi ni kwa nini siku hizi Mnyika yuko nyuma nyuma tuu? Sky Eclat
 
Toa Kenya hapo, ukabila is the devil in the details.
 
View attachment 3475698
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.

Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani ataapishwa kuwa Rais ni lazima awe mwananchi.

Mmarekani mweusi ameshindwa kuwaaminisha wananchi wa Malawi kuwa yeye ni kiongozi bora.

Hata hapa Tanzania kwa sasa kama kungekuwepo uhuru wa kidemokrasia, uhuru wa vyombo vya habari, tume huru ya uchaguzi, vyombo vya dola kukaa kando wananchi waamue pia kungetokea mabadiliko.

NO Reforms No Election 2025 inaonesha watu wameamua kususia uchaguzi na ni wengi hivyo hiyo ni kura tosha mgombea urais wa CCM kuwa kashindwa, aondoke Ikulu kabla ya 29 Oktoba 2025
 
View attachment 3475698
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.

Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani ataapishwa kuwa Rais ni lazima awe mwananchi.
Fundisho zuri sana kwetu Tanzania. Achia wananchi watakayo. Kama Mama anapendwa sana na karibu watu wote Tanzania, kwa nini kusiwe na uchaguzi huru na halali? Si atapita tu kwa kuwa anapendwa sana? Huhitaji kupambia nyimbo za 'anapendwa' wakati sivyo. Chema chajiuza. Kibaya chajitembeza. Kama angegombea kwenye uchaguzi huru na halali akashindwa, angejiondokea na heshima kubwa, sawa na Chikwera. Ilivyo sasa 'atashinda' kwa asilimia kubwa halafu anatawala Watanzania wanyonge kwa kuwa hawakumtaka.
 
View attachment 3475698
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.

Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani ataapishwa kuwa Rais ni lazima awe mwananchi.
 
Kwa mara ya kwanza nakubakiana na wewe, hivi ni kwa nini siku hizi Mnyika yuko nyuma nyuma tuu? Sky Eclat
Lema alikimbia nchi na penss hamjawahi hata kumjulia hali ndo kwanza stori za mbunye mkazidisha leo hii linakuja limutu linatema mate eti lema kakimbia Show wewe uko Numa ya keyboard mwenzako anawaface bado unalazimisha wewe ndo unauchungu na nchi
 
kiongozi anaerudi madarakani(AP Mutharika) nae age go.! 85 yrs ..nimeona kuna jamaa wa zimbabwe anawasifu wamalawi pia anawananga kwamba walishindwa kuangalia mwenye nguvu kidogo,..akasema huyu Peter Mutharika anataka nae afie ofisini kama kaka yake Bingu wa Mutharika
 
Tanzania ilikuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine za Afrika. Sasa hivi imekuwa mfano wa kuchekwa na kila mwenye akili timamu.
Sio kwenye democrasia hapana yale yote yalikua maigizo tumeishi kwenye maigizo ya Democrasia mda mrefu Mwenyekiti wa Chama ndo Rais alafu ndo anachagua tume ya uchaguzi unasema tulikua mfano kwenye maigizo ya democrasia
 
Malawi na Zambia hubadili vyama tawala kila mara ila bado haijaweza kuwasaidia. Hii demokrasia ya magharibi haiwezi leta maendeleo Afrika.
Ghana vipi Mbona huwasemi lakini kubadili vyama unawapa wananchi haki yao hata kama havileti maendeleo
 
Hata CDM nao bado hawana utayari wa kutawala Tanzania. Kiongozi mropokaji na mwenye jazba kama Lissu hawezi kuwa Rais Tanzania. Labda mtuletee John Mnyika
huoni kuwa Lissu ndiyo brand na icon wa siasa za upinzani Tanzania? Kila mtu ana hulka zake binafsi, still Lissu anaweza kuwa Rais wa Tanzania
 
Ipo siku CCM wataamka waulizane maswali mengi wasiamini. Hii kutufanyia uhuni bila soni ni dharau kubwa kwa umma.
 
Back
Top Bottom