Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

View attachment 3475698
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.

Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani ataapishwa kuwa Rais ni lazima awe mwananchi.
Yeye mwenyewe wakati anaingia madarakani alimshinda rais aliyekuwa amekaa madarakani kwa muhula mmoja.
 
View attachment 3475698
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.

Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani ataapishwa kuwa Rais ni lazima awe mwananchi.
Malawi na Zambia hubadili vyama tawala kila mara ila bado haijaweza kuwasaidia. Hii demokrasia ya magharibi haiwezi leta maendeleo Afrika.
 
View attachment 3475698
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.

Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani ataapishwa kuwa Rais ni lazima awe mwananchi.
Alikuwa mshamba sana huyu Chakwera. Amewahi kusafiri na familia yake kwenye mwaliko wa serikali ya Uingereza. Na BBC walipomuuliza alishindwa kujitetea
 
MCP ni chama kilichopigania uhuru wa Malawi lakini kinakubali kushindwa, CCM nayo ikubali kushindwa endapo haitapata kura za ushindi. Tatizo hakuna chama cha upinzani kinachogombea uchaguzi huu, vinavyogombea ni magumashi matupu
Hata CDM nao bado hawana utayari wa kutawala Tanzania. Kiongozi mropokaji na mwenye jazba kama Lissu hawezi kuwa Rais Tanzania. Labda mtuletee John Mnyika
 
Taifa lolote lililowahi kuweka upinzani madarakani kupitia sanduku,kubadili vyama unakuwa utamaduni wao!

Edgar Lungu alipobwagwa na Hichilema,yeye Lungu aliyekuwa madarakani ndiye alilalamika uchaguzi kutokuwa huru na haki.

Zimbabwe, Afrika Kusini na Tz safari ipo kwenye kuwang'oa hao vingunge then kila kitu kitakuwa ni lami kwenye ballot box!!
 
Write your reply...duu mapumbavu mengi sana humu jf hawazijui siasa za malawi na pia nadhani wengi ni watoto wa 2000,
 
MCP ni chama kilichopigania uhuru wa Malawi lakini kinakubali kushindwa, CCM nayo ikubali kushindwa endapo haitapata kura za ushindi. Tatizo hakuna chama cha upinzani kinachogombea uchaguzi huu, vinavyogombea ni magumashi matupu
CCm haijapigania uhuru ni tanu
 
Back
Top Bottom