Well kuna chama bongo kina underestimate that, bad news hawajui fiver years from now watakimbilia nie wenyeweBaada ya Genz ya June kule Kenya, Afrika imeamka, Vijana wa Afrika sasa hivi ndiyo ma Generali wa nchi zao. Don’t underestimate their power.
Hili linahusiana nini na mada iliyopo hapa?Alikuwa mshamba sana huyu Chakwera. Amewahi kusafiri na familia yake kwenye mwaliko wa serikali ya Uingereza. Na BBC walipomuuliza alishindwa kujitetea
Mpumbavu ni wewe unayeona ni sawa watoto wa Rais kusafiri na Rais kwa gharama za Serikali kwenye mkutano ambao hahusikiHili linahusiana nini na mada iliyopo hapa?
Kwamba ushamba wake wa kwenda na familia yake huko Uingereza ndio umepelekea yeye kushindwa uchaguzi au?
Yaan yote hii hili tu kumbeza huyu mwanademokrasia kisa kaheshimu katiba kwa kukubali kushindwa?
Wewe mzee huwa ni mpumbavv sana na unazeeka na upumbavu wako.