Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Hata kwa hesabu tu ya kipofu jambo lako haliwezekani.

Fananisha uchumi wa South Africa na Rwanda alafu uone nani anaweza kugharamia vita kwa mda mrefu na kumiliki zana za kisasa za vita.

Angalia population ya South Africa ni zaidi ya milioni 80 alafu population ya rwanda ni ni almost milioni 14 hadi 15, unadhani hapa nani atakuwa na man power ya kutosha kwa ajili ya vita.

Angalia ukubwa wa eneo la Rwanda alafu fananisha na South Africa, Rwanda ukubwa wake kieneo ni sawa na mkoa wa KAGERA, probably inaweza kushambuliwa kutoka pande zote 4 za dunia bila kipingamizi chochote maana ni land locked country haina hata bahari.

Shame on you Idiot
 
Shame on you Idiot
 
sijui kwa nini watu huwa wanaiinua sana rwandam ambayo iliomba poo kwa kikwete kipindi kile kimyakimya. nakuhakikishia, haitachukua hata mwezi south africa atakuwa amefika ikulu ya kigali na kumfunga kamba kagame. mateso wanayopata wakongo ni makubwa sana, asilete kibesi wakati watu wanatoa machozi huko.
 
yah ardhini inabidi jeshi liwe vizuri ili kuweza kushinda, tena eneo kama wewe ni mgeni
 
Mwanangu unaweza kutishia mtu 😂😂
Kwa mtu mgeni hapa anaweza anza kuogopa 😂

Kwamba ulifanya kazi Rwanda pale kama mtu wa Secret service ? Huko USA upo white house ? Au ni muuza viaz mtaani ndio unajifanya unajua nch nzima ?
 
Wee jamaa una degedege wahi hospital
i!
 
Ngoja uone kama Ramaphosa atatia pua yake. Si amekaribishwa.
When comparing the South African Army to the Rwandan Army, the South African Army generally holds a significant advantage due to its larger size, more advanced weaponry, and greater combat experience, particularly in conventional warfare; however, the Rwandan Army is considered highly disciplined and effective in asymmetric warfare, especially in peacekeeping and counter-insurgency operations, which could be a factor in certain scenarios
 
Mwanangu unaweza kutishia mtu 😂😂
Kwa mtu mgeni hapa anaweza anza kuogopa 😂

Kwamba ulifanya kazi Rwanda pale kama mtu wa Secret service ? Huko USA upo white house ? Au ni muuza viaz mtaani ndio unajifanya unajua nch nzima ?
Mi ni mbeba mabox tu mitaani USA.
 
I totally agree with you. Those are factors to be considered when discussing these two nations. SA army lacks discipline and internal motivation. They are like a bunch of teenagers.
 
Ongezea na mbinu nyingine kongwe ya vita ya msituni ni nguvu za giza. Unakuta wahuni mwilini wana vitambaa vyekundu mara vifundo vya dawa shingoni, mikononi na viunoni.
 
Wanyarwanda wamejazana kibao Munduli na vyuo vyetu vya kijeshi kufundishwa maswala ya uongozi na skills za kijeshi. Vitu vingine kama hamjui nyamazeni tu, ila hao unao wasifia ni weupe.

Sema tu nchi za Magharibi zinamlinda sababu maslahi yao DRC, maana zaidi ya asilimi sabini Cobalt inayotumika kwenye kutengeneza mabetri ya simu na magari inatokea DRC, bado kuna dhahabu, almasi,copper na madini mengine mengi.

Na kama hujui huu ugomvi Russia anataka kuununua na tayari kishatoa onyo kwa M23 na Rwanda waiache DRC na anafanya hivi kuwavurugia nchi za Magharibi hasa upande wa Cobalt,hata hao Mercenaries wapo kulinda maslahi ya nchi za Magharibi.
 

Kagame hajasema ukweli wote Jeshi la South Africa na Tanzania pale ni kitu kimoja.
 
Kwa akili yako watapambana misitu ya kongo rwanda atafunuliwa kigali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…