Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Ila sure...Ila bro ukisema mambo ya Mauritius ni nchi ndogo Ile na kisiwa. Huwezi fananisha maendeleo yake na Tanzania hata kwa GDP. Yaani si kama Rwanda.....
 
Elimu ya maarifa imetupiliwa mbali, watu wapo busy kujaza mavyeti yasiyoweza kuwasaidia.
Very true ..na innovation haiwi encouraged...huko nchi za wenzetu wanavumbua kitu sisi tunachofanya ni kuvumbua vitu vya 1980 huko
 
Very true...so changamoto ni dini...Ila waarabu pia Wana dini na wameendelea(even though ni mafuta and all)... Lakini wazungu hao hao Wana dini pia... Ila kweli tumejenga emphasis kubwa kwenye utamaduni wao kuliko maendeleo yetu
 
😂Maombi na kazi ....
 
Ndio...lakini hatuko tayari kuwa na sheria ya kuua. Mbona kipindi Cha magu mambo yalikuwa yanaenda tu
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni Nini?
Tuangalie sehemu moja tu, kujitambua.

Wahindi wana maandishi yao, wana dini yao, wana falme zao, wana kalenda yao, kabla ya wahindi dhana ya 0 ilikuwa haitumiki katika hesabu, wao ndio wameiongeza, wameanza haya kwa maelfu na maelfu ya miaka.

Ukoloni umekuja kuwaingilia kidogo tu katika mambo yao hayo, sasa umewaacha, wamerudia walipoishia wakajiongeza na mambo ya dunia ya leo.

Chukua Waafrika walio Tanzania ya leo.

Dini yao ya asili imeandikwa katika kitabu gani? Maandishi yao ya asili ni yapi? Kalenda yao ya asili ni ipi? Falme zao kubwa za miaka maelfu na maelfu ziko wapi? Wamechangia nini kipya katika literature ya dunia, sayansi, falsafa?
 
😂So wakipewa wengine unadhani itabadilika
Hapana
Tunahitaji kuanza upya ndugu yangu
Tukubalianr 60yrs ni miaka ya kijinamizi na ushetani mwingi.

CCM tuisamehe lakini ikae pembeni
Watanzania wapewe kipaumbele kwanza ndipo vyama vije
 
Very true...so changamoto ni dini...Ila waarabu pia Wana dini na wameendelea(even though ni mafuta and all)... Lakini wazungu hao hao Wana dini pia... Ila kweli tumejenga emphasis kubwa kwenye utamaduni wao kuliko maendeleo yetu
Waarabu walituletea dini, dini waliyonayo ni asili yao.
Sasa hivi ulienda kununua jembe unakuta ni chaos China wakati zamani tulikuwa na wahunzi wetu.
 
Alright kiranga hapo umeongea India tu...what about Indonesia na Malaysia na hata Singapore
 
Hapana
Tunahitaji kuanza upya ndugu yangu
Tukubalianr 60yrs ni miaka ya kijinamizi na ushetani mwingi.

CCM tuisamehe lakini ikae pembeni
Watanzania wapewe kipaumbele kwanza ndipo vyama vije
So solution ni Nini haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…