Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Nimekupata mkuu.
 
Katiba Mpya ambayo kila Mtanzania atawajibika kuitii na kuiishi bila kujali cheo ama nafasi yake.

Haya madudu yameletwa na CCM kwa sababu hiki chama kimejimiikisha nchi isivyo halali
Okay katika mpya ..bac let's wait wafanye hivi...Ila unajua kabisa serikali itajivuta kwenye hili
 
😅 Asa ukisema laana hauwezi tatua matatizo... utaishia kugive up tu
 
Very true bongo tunapenda mafanikio ya Chap chap
 
😅Sisi si tuna bandari
 
Hahaha Mr this is a conspiracy bana I don't think the system inafanyia blacks hivi kweli...
 
Very nyc ..🔥
 
Hata jamii za wazungu zilikuwa Zina watumwa
 
Mpaka leo elimu ya mzungu haina tija wala ugunduzi zaidi ni prestige basi ,hao waliopata wakijua kingereza ila ngozi bado nyeusi wanaitwa ndo wasomi😅😅wanajifananisha na wazungu ...Ila kiukweli wamemega elimu kidogo ndo hiyo tangu ukoloni na ndipo tunadumaa ila ujuzi na ugunduzi ni zero kabiaa.
 
[emoji28]Sawa Sasa huoni ukisema hivyo unakatisha tamaa waafrika...kwamba no matter wat they do as long as they r black hawawezi fanikiwa
Kufanikiwa kwa waafrika inawezekana lakini lazima kwanza mifumo yote mibovu ifutwe.

Tuje na mifumo mipya ya kuto kuchekeana na kubembelezana.

Inashangaza sana hapa Tanzania mtu akiharibu wizara hii ana hamishiwa wizara nyingine,Au aki haribu kitengo fulani ana hamishiwa kitengo kingine.

Huu ni upumbavu wa hali ya juu.

Kuchekeana chekeana huku kwa kuvunja sheria ndio kuna kwamisha waafrika kuendelea.
 
Okay mr Kiranga so solution ni kuondoa dini(which is impossible kwa Africa na unajua Hilo...) And dedollarization..
Hizo ni hatua ndogo tu za kuanzia, ambazo tumeshindwa.

Sasa hapo tukitaka kujiongeza zaidi kwenye elimu na uchumi lazima tushindwe.

Utakuwaje na elimu ya kisayansi na critical thinking kama watu wako wametawaliwa na mawazo ya dini na uchawi?

Utajitoa vipi kwenye minyororo ya utumwa wa kiuchumi kama hata unaponunua bidhaa za nchi jirani ndani ya Afrika inakubidi utumie US dollar?

Itakuwa kazi kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…