macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kama watazaa watoto wenye akili kama za Makonda ni bora kumpa mtasha akusaidie. I am serious! Kuzaa mtoto mwenye akili kama za Makonda ni laana!Nawaangalia mnakokwenda bado kidogo mtasema wake zenu wapewe watasha!
Kuna nchi zilipitia masaibu kuliko ya utumwa na wako mbele... Ni suala la bidii ya kazi na uadilifu tu. Nchi yenye viongozi wanafanya usanii wa kutembea kwa punda na ngamia maendeleo yatatoka wapi?Ile miaka zaidi ya 400 yautumwa ilichukua vitu vingi sana kwa wajukuu wa hili bara la Africa na sasa wajukuu ndio tunapitia malipo ya muingiliano wa kipindi kile cha utumwa.
Wale machoko wangetuacha tuendelee na ratiba zetu tungeshakuwa imara hadi miaka hii tungekuwa tumeshapiga hatua nakuwa WAKANDA CONTINENT.
Ila tusikate tamaa raia wangu hii vita bado mbichi sana na tukituliza vichwa tutatoboa me ninawakubali sana young blood wenzangu wa kitanzania na kiafrika. Tutatoboa MUNGU anatutazama maana sisi hatuna hatia na hii dhuluma tunayofanyiwa wala hatujachangia kuileta.
Haya mazee yaliyopo serikalini dawa yao inachemka.
[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba kabla ya interview anauliza kuna ulaji hapa?Ili uendelee kwanza lazima uwe mwaminifu haswa
Sisi uaminifu ni zero
Unampa boda kopo la mafuta anasema nakuletea sasa hivi, hiyo imetoka
Unamtuma kijana kitu anauchuna na chenji kama vile ya mama yake ukimuuliza anakuambia daa nilijisahau
Rushwa kila kona hili halitapungua hata siku moja mpaka ajali ni kwa ajili ya Rushwa
Nina mwaka wa 35 hata luvunjiwa taa sijavunjiwa
Wizi ndio usiseme ni wengi waizi
10% za kazi na tenda kila kona
Hivi tunaweza kuwa hata na viwanda vikazalisha bila kuiba
Dogo anakuja kuomba kazi kabla ya interview anasema kuna ulaji hapa? Au mshahara tu.
Poleni sana mkitakata kuendelea hata mzungu hawezi kuwabadilisha bali wenyewe
Elimu bora kwa kila MTANZANIA, Watanzania wote wakielimika hatutoona upuuzi tena Mkuu.Mkuu maprofesa wenyewe waliotakiwa kuonesha maajabu ili wathibitishe unachoongea si ndo hawa wakina Kabudi na Lipumba?
Mkuu ina maana tangu uhuru hatujapata hao wenye akili? Mfano nchi yetu tu miaka 60 ya uhuru ni kipindi kirefu sana lakini hatuna uelekeo wowote kama taifaBILA Shaka we NI mzungu.huwa cpendi kutukana,Acha upumbavu.nyie mmeshindwa kuongozana?Afrika tunahitaji watu wenye akili kichwani sio vichwa box.hatuitaji mzungu pumbavu nnyie.
Hata wenye elimu bado mkuu. Vetting yetu ya kupata viongozi ni mbovu sana. Fikiria mtu kama mwana fa zaidi ya umaarufu wake nini kingine kimempa uongozi? Mtoa mada ana hoja, binafsi nina uhakika kabisa tungemuacha muingereza atutawale leo hii tungekua kwenye hatua nzuri lakini angalia leo nchi ina miaka 60+ ya uhuru na hakuna uelekeo wowote kama taifa.Elimu bora kwa kila MTANZANIA, Watanzania wote wakielimika hatutoona upuuzi tena Mkuu.
TUNAPELEKESHWA KWASABABU ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA HAWANA ELIMU WALA UFAHAMU WA HAKI ZAO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mtu alie elimika ni ngumu sana kumtawala kiboya.Hata wenye elimu bado mkuu. Vetting yetu ya kupata viongozi ni mbovu sana. Fikiria mtu kama mwana fa zaidi ya umaarufu wake nini kingine kimempa uongozi? Mtoa mada ana hoja, binafsi nina uhakika kabisa tungemuacha muingereza atutawale leo hii tungekua kwenye hatua nzuri lakini angalia leo nchi ina miaka 60+ ya uhuru na hakuna uelekeo wowote kama taifa.
NAKAZIA [emoji419][emoji375]Muafria analaana ya asili..alafu wanaongoza kwa kubishana na facts na ukweli Duniani
NAKAZIA [emoji419][emoji375]Wa Africa wengi ni wapuuzi.
Uko sahihiHapo vip!!
Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli.
Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k ila sasa waafrika wanaomba msaada kwao.
Ngozi nyeusi bado haiwezi kuleta maendeleo kwa haraka zaidi ya kukalia hizo nafsi kama kebichi tu.
Hapa utasikia wengine wakisema mara oo unajidharau kwenda huko..huo ndio ukweli. Mfano wa kweli, kuna muarabu mmoja alipewaga vichwa viwili vya scanya na muafrika ambaye alikuwa tajiri enzi hizo..yeye alikuwa na scanya kama 50.
Baada ya miaka 10 huyo muarabu akaja kuonana na huyu muafrika tajiri..akamuambia vip maendeleo ya biashara zako..muafrika akamuambia sasa hivi nina scanya 100, yule muarabu akasema pole kama kumuonea huruma hivi,mwarabu akamuambia sasa hivi yeye anascanya 500 magari madogo hawezi kuhesabu na anamakampuni kama 10.
Ila muarabu mwishowe akasema laiti Mungu angeonekana,waafrika nawashauri mumtafute mzee mwenye nywele nyeupe kichwani asiwe hata na nywele moja nyeusi,alafu ajiburuze kwa Mungu kwa kutumia makalio tena kwa unyenyekevu mkubwa akamuulize Mungu swali yakwamba Baba hivi sisi waafrika tumekukosea nini kwasababu sisi waafrika ni masikini sana na tunarasilimali za kutosha. NB hii ni story ya kweli.
Ndugu yangu,umasikini wanaoishi nao watanzani kwa asilimia 80 inachangiwa na aina viongozi na mifumo ya uongozi katika nchi. Hapa watakuja wakina kalume kenge watakuambia serikali haikuletee pesa wa kukuwekea mfukoni,au fanya kazi acha kulalamika haya ni hoja ya kisiasa ya kukwepa ualisi na ukweli.
Tanzania unaweza jituma kwenye biashara,kilimo,ufugaji,kusoma lakini mazingira sio rafiki kumsaport mtanzania anayejituma na kufanya kazi.
Mfano mdogo nibhu,Leo kijana wakitanzania anaweza kuanzisha biashara,akawa na plan kubwa katika biashara hiyo..kijana huyu akitaka mkopo wa millioni 5,10,20 na kundelea ataambiwa awe na nyumba,sasa huyu kijana katoka chuo juzi hiyo nyumba amejenga lini?
Huo ni mfano halisi..niishia hapo kwa kutoa huo mfano mrahisi.
Ila serikali bado haijawa sereous kuwasaidia watanzania kuondokana na umaskini..siasa ni nyingi sana kila mahali siasa na uchawi nadhani ni marafiki.
Hawa wakwetu ni mashindano ya kuvaa tu na akiwa mwanamke ufundi ni kuonyesha mitindo ya vilemba tuKweli
Waje hao watu wanaoweza kuvaa jeans moja mwaka mzima wao na kazi
Ile miaka zaidi ya 400 yautumwa ilichukua vitu vingi sana kwa wajukuu wa hili bara la Africa na sasa wajukuu ndio tunapitia malipo ya muingiliano wa kipindi kile cha utumwa.
Wale machoko wangetuacha tuendelee na ratiba zetu tungeshakuwa imara hadi miaka hii tungekuwa tumeshapiga hatua nakuwa WAKANDA CONTINENT.
Ila tusikate tamaa raia wangu hii vita bado mbichi sana na tukituliza vichwa tutatoboa me ninawakubali sana young blood wenzangu wa kitanzania na kiafrika. Tutatoboa MUNGU anatutazama maana sisi hatuna hatia na hii dhuluma tunayofanyiwa wala hatujachangia kuileta.
Haya mazee yaliyopo serikalini dawa yao inachemka.
Yaani imetokea kwenye kampuni ya mshkaji na mdogo wake alikuwa amekaa na wanaosubiri interview[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba kabla ya interview anauliza kuna ulaji hapa?