Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

Nawaangalia mnakokwenda bado kidogo mtasema wake zenu wapewe watasha!
Kama watazaa watoto wenye akili kama za Makonda ni bora kumpa mtasha akusaidie. I am serious! Kuzaa mtoto mwenye akili kama za Makonda ni laana!
 
Ile miaka zaidi ya 400 yautumwa ilichukua vitu vingi sana kwa wajukuu wa hili bara la Africa na sasa wajukuu ndio tunapitia malipo ya muingiliano wa kipindi kile cha utumwa.

Wale machoko wangetuacha tuendelee na ratiba zetu tungeshakuwa imara hadi miaka hii tungekuwa tumeshapiga hatua nakuwa WAKANDA CONTINENT.

Ila tusikate tamaa raia wangu hii vita bado mbichi sana na tukituliza vichwa tutatoboa me ninawakubali sana young blood wenzangu wa kitanzania na kiafrika. Tutatoboa MUNGU anatutazama maana sisi hatuna hatia na hii dhuluma tunayofanyiwa wala hatujachangia kuileta.

Haya mazee yaliyopo serikalini dawa yao inachemka.
Kuna nchi zilipitia masaibu kuliko ya utumwa na wako mbele... Ni suala la bidii ya kazi na uadilifu tu. Nchi yenye viongozi wanafanya usanii wa kutembea kwa punda na ngamia maendeleo yatatoka wapi?
 
Ili uendelee kwanza lazima uwe mwaminifu haswa

Sisi uaminifu ni zero

Unampa boda kopo la mafuta anasema nakuletea sasa hivi, hiyo imetoka

Unamtuma kijana kitu anauchuna na chenji kama vile ya mama yake ukimuuliza anakuambia daa nilijisahau
Rushwa kila kona hili halitapungua hata siku moja mpaka ajali ni kwa ajili ya Rushwa
Nina mwaka wa 35 hata luvunjiwa taa sijavunjiwa

Wizi ndio usiseme ni wengi waizi

10% za kazi na tenda kila kona

Hivi tunaweza kuwa hata na viwanda vikazalisha bila kuiba

Dogo anakuja kuomba kazi kabla ya interview anasema kuna ulaji hapa? Au mshahara tu.

Poleni sana mkitakata kuendelea hata mzungu hawezi kuwabadilisha bali wenyewe
[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba kabla ya interview anauliza kuna ulaji hapa?
 
Mkuu maprofesa wenyewe waliotakiwa kuonesha maajabu ili wathibitishe unachoongea si ndo hawa wakina Kabudi na Lipumba?
Elimu bora kwa kila MTANZANIA, Watanzania wote wakielimika hatutoona upuuzi tena Mkuu.

TUNAPELEKESHWA KWASABABU ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA HAWANA ELIMU WALA UFAHAMU WA HAKI ZAO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
BILA Shaka we NI mzungu.huwa cpendi kutukana,Acha upumbavu.nyie mmeshindwa kuongozana?Afrika tunahitaji watu wenye akili kichwani sio vichwa box.hatuitaji mzungu pumbavu nnyie.
Mkuu ina maana tangu uhuru hatujapata hao wenye akili? Mfano nchi yetu tu miaka 60 ya uhuru ni kipindi kirefu sana lakini hatuna uelekeo wowote kama taifa
 
Acheni kulalamika.

Mmeshaamua kutawaliwa na ccm, kwa hiyo kaeni kwa kutulia
 
Unachosema ni kweli mkuu,nipo hapa SA,wazungu walijenga hii nchi,ila tunachofanya ngozi nyeusi ni aibu
 
Elimu bora kwa kila MTANZANIA, Watanzania wote wakielimika hatutoona upuuzi tena Mkuu.

TUNAPELEKESHWA KWASABABU ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA HAWANA ELIMU WALA UFAHAMU WA HAKI ZAO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hata wenye elimu bado mkuu. Vetting yetu ya kupata viongozi ni mbovu sana. Fikiria mtu kama mwana fa zaidi ya umaarufu wake nini kingine kimempa uongozi? Mtoa mada ana hoja, binafsi nina uhakika kabisa tungemuacha muingereza atutawale leo hii tungekua kwenye hatua nzuri lakini angalia leo nchi ina miaka 60+ ya uhuru na hakuna uelekeo wowote kama taifa.
 
Mtu alie elimika ni ngumu sana kumtawala kiboya.

ELIMU BORA KWA WOTE NDIO SULUHU YA HILI TATIZO NA SI VINGINEVYO.

Yangu ni hayo tu!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hii mijadala inaonyesha jinsi Mwafrika alivyokata tamaa mimi nadhani solution ni tubalishe Mindset zetu tu.
 
Black people ni shida tuongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo na wanao ongozwa nao hatujitambui sasa angalia hata taasisi kama mashule walio jenga wazungu yapo strong mpaka leo fuatilia sasa shule walio jenga wabongo zimechoka issues ni kwamba kabisa wazungu wangerudi Africa juzi nimesikitika karne hii kuna madam kapata ajari wakampeleka hospital hata huduma ya kwanza hawana mpaka akafia hapo daaaah
 
Hapo vip!!

Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli.

Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k ila sasa waafrika wanaomba msaada kwao.

Ngozi nyeusi bado haiwezi kuleta maendeleo kwa haraka zaidi ya kukalia hizo nafsi kama kebichi tu.

Hapa utasikia wengine wakisema mara oo unajidharau kwenda huko..huo ndio ukweli. Mfano wa kweli, kuna muarabu mmoja alipewaga vichwa viwili vya scanya na muafrika ambaye alikuwa tajiri enzi hizo..yeye alikuwa na scanya kama 50.

Baada ya miaka 10 huyo muarabu akaja kuonana na huyu muafrika tajiri..akamuambia vip maendeleo ya biashara zako..muafrika akamuambia sasa hivi nina scanya 100, yule muarabu akasema pole kama kumuonea huruma hivi,mwarabu akamuambia sasa hivi yeye anascanya 500 magari madogo hawezi kuhesabu na anamakampuni kama 10.

Ila muarabu mwishowe akasema laiti Mungu angeonekana,waafrika nawashauri mumtafute mzee mwenye nywele nyeupe kichwani asiwe hata na nywele moja nyeusi,alafu ajiburuze kwa Mungu kwa kutumia makalio tena kwa unyenyekevu mkubwa akamuulize Mungu swali yakwamba Baba hivi sisi waafrika tumekukosea nini kwasababu sisi waafrika ni masikini sana na tunarasilimali za kutosha. NB hii ni story ya kweli.

Ndugu yangu,umasikini wanaoishi nao watanzani kwa asilimia 80 inachangiwa na aina viongozi na mifumo ya uongozi katika nchi. Hapa watakuja wakina kalume kenge watakuambia serikali haikuletee pesa wa kukuwekea mfukoni,au fanya kazi acha kulalamika haya ni hoja ya kisiasa ya kukwepa ualisi na ukweli.

Tanzania unaweza jituma kwenye biashara,kilimo,ufugaji,kusoma lakini mazingira sio rafiki kumsaport mtanzania anayejituma na kufanya kazi.

Mfano mdogo nibhu,Leo kijana wakitanzania anaweza kuanzisha biashara,akawa na plan kubwa katika biashara hiyo..kijana huyu akitaka mkopo wa millioni 5,10,20 na kundelea ataambiwa awe na nyumba,sasa huyu kijana katoka chuo juzi hiyo nyumba amejenga lini?

Huo ni mfano halisi..niishia hapo kwa kutoa huo mfano mrahisi.

Ila serikali bado haijawa sereous kuwasaidia watanzania kuondokana na umaskini..siasa ni nyingi sana kila mahali siasa na uchawi nadhani ni marafiki.
Uko sahihi
 
Huoni kuchukuliwa kupelekwa utumwani ni dalili ya kuzidiwa??
Ile miaka zaidi ya 400 yautumwa ilichukua vitu vingi sana kwa wajukuu wa hili bara la Africa na sasa wajukuu ndio tunapitia malipo ya muingiliano wa kipindi kile cha utumwa.

Wale machoko wangetuacha tuendelee na ratiba zetu tungeshakuwa imara hadi miaka hii tungekuwa tumeshapiga hatua nakuwa WAKANDA CONTINENT.

Ila tusikate tamaa raia wangu hii vita bado mbichi sana na tukituliza vichwa tutatoboa me ninawakubali sana young blood wenzangu wa kitanzania na kiafrika. Tutatoboa MUNGU anatutazama maana sisi hatuna hatia na hii dhuluma tunayofanyiwa wala hatujachangia kuileta.

Haya mazee yaliyopo serikalini dawa yao inachemka.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba kabla ya interview anauliza kuna ulaji hapa?
Yaani imetokea kwenye kampuni ya mshkaji na mdogo wake alikuwa amekaa na wanaosubiri interview
Akaja la kwanza kasalimia akasema vipi bado?
Kuna ulaji lakini humu
Jamaa hakupata kazi alifukuziwa getini 😄 🤣
 
Back
Top Bottom