Mwana kulifind...Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
View attachment 2331170
View attachment 2331171
View attachment 2331172
Mambo ya kustaajabisha sana haya, bora siko huko serikalini maana wangenifukuza mapema sana sababu huwa siwezi unafiki.Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
View attachment 2331170
View attachment 2331171
View attachment 2331172
Kuifananisha nchi inayo nuka umasikini[ Tanzania ] na mataifa Kama China, Russia, South Korea unaya vunjia sana heshima hayo mataifa.Tanzania hatuna tofauti na nchi kama South Korea, Russia, Cuba na China ..... Bado tuko kule kule kwenye zama .... Naona itakuwa ngumu sana kutoka huko mpaka pale CCM itakapotoka madarakani.....!!
Tuko gizani sana, nahisi siku ikitokea mtu akachana hotuba ya raisi anaweza akapigwa shaba on the spot. Refer to what Pelosi did to Donald Trump 😂😂😂Kumkosoa muheshimiwa raisi kistaha siyo kosa!Ila nadhani meneja alitukana viongozi matusi mazito ya nguoni tena bila staha,Mama ameamua kumparura😬
Kwa jicho la mbali naona hata akikata rufaa hashindi.
Unadhani?Kumkosoa muheshimiwa raisi kistaha siyo kosa!Ila nadhani meneja alitukana viongozi matusi mazito ya nguoni tena bila staha,Mama ameamua kumparura😬
Kwa jicho la mbali naona hata akikata rufaa hashindi.
Hashindi si kwa sababu hana haki, ila ni kwa sababu hatuna organ yenye nguvu kumzidi raisi. Si bunge wala mahakama ambalo linaweza kupingana na matakwa ya raisi. A cursed stateKumkosoa muheshimiwa raisi kistaha siyo kosa!Ila nadhani meneja alitukana viongozi matusi mazito ya nguoni tena bila staha,Mama ameamua kumparura😬
Kwa jicho la mbali naona hata akikata rufaa hashindi.
unadhani?