Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Kumkosoa muheshimiwa raisi kistaha siyo kosa!Ila nadhani meneja alitukana viongozi matusi mazito ya nguoni tena bila staha,Mama ameamua kumparura😬

Kwa jicho la mbali naona hata akikata rufaa hashindi.
Angemtukana wangeliandika hapo na angepelekwa mahakaman kwa kumtusi Rais! Barua yao yenyewe unasema kwa kuwakosoa viongozi wa juu wa Nchi
 
Tanzania hatuna tofauti na nchi kama South Korea, Russia, Cuba na China ..... Bado tuko kule kule kwenye zama .... Naona itakuwa ngumu sana kutoka huko mpaka pale CCM itakapotoka madarakani.....!!
Urusi iko wapi?
 
Binafsi sijafagilia lakin kwa uozo uliopo hapo TRC na kumbe yey ni mkubwa pale bdal atatue kero anakalia kutype mitandaon..ombi langu kwa Rais, afumue uongozi wote pale TRC wanakera san
 
Mambo ya kustaajabisha sana haya, bora siko huko serikalini maana wangenifukuza mapema sana sababu huwa siwezi unafiki.
Kwa hiyo huko uliko unapinga mambo ya viongozi wako na fresh tu.....au kama wewe ndo kiongozi ...wa chini yako wakikupinga unawaacha fresh tu
 
Back
Top Bottom