Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Watawala wa kiafrica wote huwa wanaanza kama malaika
 
KWA HIYO HUKO ULIKO UNAPINGA MAMBO YA VIONGOZI WAKO NA FRESH TU.....AU KAMA WEWE NDO KIONGOZI ...WA CHINI YAKO WAKIKUPINGA UNAWAACHA FRESH TU
Niondolee ujinga, mimi sio napinga ila huwa ni mtu wa kutoa maoni yangu kulingana na haki yangu kikatiba. Mambo yakiwa yanafanyika ya kipuuzi siwezi shabikia hata kidogo na siwezi kuwa on the side ya washabiki mandazi.

Wewe kama uko kwenye payroll ya wapambe siwezi shangaa, endelea na kazi yako.
 
Kuifananisha nchi inayo nuka umasikini[ Tanzania ] na mataifa Kama China, Russia, South Korea unaya vunjia sana heshima hayo mataifa.
Haongelei kiuchumi wala miundombinu ya vitu bali haki ya raia kujiamlia mambo yao kama tulivyozoezwa kusema "Kila mtu ana haki ya kwenda atakako kusema atakacho na kukutana na watu mradi havunji sheria". Hizo nchi hazina hilo inabidi kila nyendo za kila raia ziratibiwe kisiri siri.

MAENDELEO YA NCHI SI VITU BALI NI WATU WENYEWE. Fafanua.
 
Watumishi wa Umma wengine ni kichefu chefu sana, unakuta mtu yuko ofisini kazi kukaa mitandao ya jamii kutwa hafanyi kazi, na huko mitandoni kutukana na kukashifu serikali ya CCM kwa kila namna, Mtumishi wa hivyo ni hasara sana kwani productivity ni zero, in a week unakuta kafanya kazi say 10% tu, kazi mitandao tu, acha ajifunze hana adabu kama Manara.
 
Niondolee ujinga, mimi sio napinga ila huwa ni mtu wa kutoa maoni yangu kulingana na haki yangu kikatiba. Mambo yakiwa yanafanyika ya kipuuzi siwezi shabikia hata kidogo na siwezi kuwa on the side ya washabiki mandazi.
umekuwa mkali tayari hii inaonyesha in a big picture ulivyo
 
Bora haya, ingekuwa enzi za Magu tusingeona notice mtandaoni badala yake tungesikia tu Meneja kapotea kaenda kutafuta maisha kwingineko
Wewe nawe mpumbavu tu! Kwa huyo Magufuli alikuwa hakosolewi? Huyu bibi yenu akili zake za kuongoza NGO nchi ishamshinda!
 
Utakuta kuna mtu ali screenshot alichoandika akatuma management.
Ndo kawaida haswa wale chawa kupenda sifa. Ndo maana izo group za kazini hata kama ya ishu zenu binafsi kama magroup ya vitengo, labda mnacheza vikoba, magroup ya harusi ukijifanya umeshare mambo kama hayo Kuna wambea unachomwa kweupe kwa boss.
 
Mkuu nimekujibu kama ambavyo umeuliza, wala sijawa mkali ila tafsiri yako huenda imekublind.
nilitaka kujua kama unaruhusu kuwa challenged ...lkn ukweli hamna kitu...anyway mawazo yako yaheshimiwe....nyuma ya keyboard with anonymous account kila mtu yupo perfect...lkn in reality tuko tofauti sna
 
Back
Top Bottom