On This One
JF-Expert Member
- Nov 30, 2021
- 532
- 469
Zama za kutosema ukweli zimejirudia.Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa rasmi,” - Jamila
We jamaa vipi?Yaani mtu anatoka studio tu kusema hayo aliyosema halafu anakutana ofisi na barua ya kutumbuliwa!Ni Mafuru pekeake ndio alitumbuliwa wakati huo?
Tuoneshe barua ya kutumbuliwa kwake na sababu za kutumbuliwa kwake.
Wewe ni mpuuz unayeona hakuna maisha nje ya ajira ya serikali!Sasa itabidi atume CV zake kwa Mbowe au Martin, si munaona sifa nyinyi kutukana mitandaoni? Kisa Mama
Mzanzibari munapayuka tu, sasa aende akatafute jembe akalime
Aliwakataa Tabora stars wazee wa asaliWanasema hata jamaa wa bandari, kamwagwa kwasababu ya kutokukubaliana na mauza uza ya mkataba wa wavaa kobasi na jamhuri, kaona liwalo na liwe, bora kutemeshwa mzigo kuliko kushiriki ulambaji asali ule!
Saini kama shut la mpira gazetiniHuyu kadogosa ana saini ya kibabeee sanaa [emoji3][emoji3]
Tuna nchi ya kijinga snAliwakataa Tabora stars wazee wa asali
Trust mi mchongo mzima umefanikishwa na chawa tu, maza hajui lolote hapo na lengo ilikua kumuondoa jamaa kwenye system tu. Seems hakuwa na compatibility na walamba asali. Yani hapo wamepata solid reasons za kumuharibia tu.Sasa mkiona watu wamenyamaza au kusapoti kila kitu muwaelewe. Huyu ana bahati kufukuzwa kazi. Yaani kufukuzwa kazi ashukuru Mungu.
Wenye madaraka hawakustahili kabisa ila wasio na madaraka ndio wanatubu tuTuna nchi ya kijinga sn
Na hapo atakapo kata rufaa ya tume hio asiporidhika swala lake linapelekwa kwa Raisi maana mtumishi wa umma kesi yake na muajiri wake haiendi mahakamaniHashindi si kwa sababu hana haki, ila ni kwa sababu hatuna organ yenye nguvu kumzidi raisi. Si bunge wala mahakama ambalo linaweza kupingana na matakwa ya raisi. A cursed state
Anaenda kula za kichwa 😀Na hapo atakapo kata rufaa ya tume hio asiporidhika swala lake linapelekwa kwa Raisi maana mtumishi wa umma kesi yake na muajiri wake haiendi mahakamani
Hata kama kulikuwa na kumdhalilisha Rais, mwajiri hana mamlaka ya kumfukuza mfanyakazi kwa kosa hilo kwa kuwa halihusiani na kazi ya mwajiriwa. Sana sana Serikali inaweza kumshitaki mtuhumiwa chini ya vipengee vingine vya sheria na akaadhibiwa kwa kutozwa faini au kufungwa lakini si kwa kufukuzwa kazi kwa kuwa kosa halihusiani na utendaji wa kazi.Mashirika ya Umma yamejaa makada watiifu wa chama Cha mboga mboga hamna wanalo jua zaidi ya uchawa