Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Waulize waliomla kichwa chake kina Kadogosa watakupa majibu marefu na ya kina.Kuna mahali wamesema ameidharau ofisi ya Rais? Nyie ndio walewale, barua inazungumzia kukosoa jee kukosoa ni kosa?
Ukimdharau mwajiri wako anayo haki ya kukupiga chini. Tumesahau enzi ya JPM haya mambo yalikuwa hayaishii kwa wafanyakazi wa serikali peke yao, sisi wa humu mitandaoni kuna kipindi ikabidi tutumie VPN kuwasiliana.Na nidhamu ya uoga huzaa taifa la mazezeta
Bosi wake Kadogosa atakuwa anazo taarifa kamili. Mambo ya kuchat katika group la familia na yale ya vyuoni yeye nadhani kaenda kuyaandika katika group la viongozi wa serikali kasahau mambo ya miiko ya kikazi.Kwani mkataba wake wa ajira unasemaje?
Huyu atashinda ila haki atakosa.
Rais ajaye atamteua kuwa mfuatiliaji wa haki za wastaafu. ili apiganie haki za bibi Tozo.Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa rasmi,” - Jamila
Tuanzie kwenye kanuni.Hashindi si kwa sababu hana haki, ila ni kwa sababu hatuna organ yenye nguvu kumzidi raisi. Si bunge wala mahakama ambalo linaweza kupingana na matakwa ya raisi. A cursed state
Hata Ndugai alifukuzwa baada ya kusema 2025 watu waamue kati ya huyu bibi tozo na asiyekuwa na haya matozo.Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa rasmi,” - Jamila
Nivyema aungane na Shangazi Maria Sarungi na Fatuma kalume , waendekeze jamhuli ya ukosowaji.Pole yake ila ukishaanza kupata vyeo serikalini, jiepushe na siasa za kupinga serikali. Watakukata tu, chagua siasa au cheo.
Nidhamu kazini na mahali popote pale utakapo kuwepo Ni Jambo la muhum sana. Out of that utateseka Sana.
Wewe wasema na je mbona hajasema ame retire sababu mpaka points zake hazitatolewa kwenye mfumo kama ka retire.Yule mwanatenesi wa kimataifa wa kichina yupo na alitoka hadharani kupinga hayo mashataka unayoyazungumzia wewe na wale wote wa magharibi waliozungumza hizo habari.
Hivi Ndugai nae mnamhurumia?Hata Ndugai alifukuzwa baada ya kusema 2025 watu waamue kati ya huyu bibi tozo na asiyekuwa na haya matozo.
Unaweza kunifafanulia lini walipitisha hiyo sheriaHaki inapatikana japo kwa umbali, mahakamani. Sasa serikali ishapiga marufuku watumishi wa umma kwenda mahakamani, akienda ni kwa review kupinga maamuzi ya rais na sio maamuzi ya mamlaka ya nidhamu, sasa hapo kuna kutoboa kweli?
Huko kote ni taratibu na hatapata haki. Yake mahakamani pekee ndio atapata haki yakeHakatizi. Kesi yake haisikilizwi mahakama ya kazi. Inasikilizwa tume ya utumishi. Hakuna mtumishi wa serikali anaenda mahakama ya kazi tena.
Magufuli aliharibu sana nchi yetuHii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa rasmi,” - Jamila
Magufuli aliharibu sana nchi yetuAnaupiga mwingi