Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mwamvuli gani wa kimataifa NK wacha mbwembweWana controlled fredom. Naongelea NK maana nimefanya kazi kule chini ya mwavuli wa kimataifa, tunaambiwa usiongelee siasa, uhuru wa watu bali fanya kazi yako kama ni kuhusu wanawake na watoto basi. Je unapokuta mama amenyang'anywa ardhi yake aliyopewa kulima anapewa mtu mkubwa, huna uwezo wa kumwambi shtaki sababu mahakama ni za wananchi ambazo zipo controlled. Hata china yule dada aliyesema alidhalilishwa na top official wa Tennis aliishia wapi?
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app