Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Wana controlled fredom. Naongelea NK maana nimefanya kazi kule chini ya mwavuli wa kimataifa, tunaambiwa usiongelee siasa, uhuru wa watu bali fanya kazi yako kama ni kuhusu wanawake na watoto basi. Je unapokuta mama amenyang'anywa ardhi yake aliyopewa kulima anapewa mtu mkubwa, huna uwezo wa kumwambi shtaki sababu mahakama ni za wananchi ambazo zipo controlled. Hata china yule dada aliyesema alidhalilishwa na top official wa Tennis aliishia wapi?
Mwamvuli gani wa kimataifa NK wacha mbwembwe

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?


TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa rasmi,” - Jamila
Mtakapo ingiza siasa ktk kazi nakufikiri watu watatishika nikweli watatishika ila je kesho ya hili Taifa itakuwaje kumbukeni yalio tokea Libya nchi iliyokuwa imepandikiza makachero kila kona ila nyuma ya pazia walikuwa wakitemgeneza. Uwasi mbaya ulio pelekea taifa kuanguka. Kweli amekosea ila je alisema kwa nia gani nje ya kazi ni Raia nje ya kazi ni mpiga kura nje ya kazi ni mtanzania wakawaida kama wengine kosa lake ni kutokubaliana na kile serikali wanakifanya well ni haki yake ya msingi kwani hili ni taifa la kindemokrasia na kama hakuna hiyo democrasia ondoeni vyama vingi ondoen mambo yakupiga kura maana tuta umizana bure pasipo sababu
 
Ukosefu wa heshima kwa mkuu wako wa kazi (insubordination) lazima uliwe kichwa.
Ukosefu wa heshima hizo text aliuzituma kwenye page ya ofisi? Au alim conront Samia ana kwa ana!? Huko ni kujipendekeza ama "booty licking" kama alivyoainisha Wakili Msomi
 
Anaweza kuwa anapoteza muda huyo aliyefukuzwa kazi. Huwezi kuidharau ofisi za rais kwa maana ya cheo chake halafu uendelee kuwa mtumishi wa serikali unaopokea mshahara wa serikali.

Uhuru wa kidemokrasia una mipaka yake.
Kuna mahali wamesema ameidharau ofisi ya Rais? Nyie ndio walewale, barua inazungumzia kukosoa jee kukosoa ni kosa?
 
Bora haya, ingekuwa enzi za Magu tusingeona notice mtandaoni badala yake tungesikia tu Meneja kapotea kaenda kutafuta maisha kwingineko
Ni ujinga kila wakati kumtumia Magu kama escape route.Huyo hayupo ameshatangulia tupime matendo yetu ya sasa.
 
Anaweza kuwa anapoteza muda huyo aliyefukuzwa kazi. Huwezi kuidharau ofisi za rais kwa maana ya cheo chake halafu uendelee kuwa mtumishi wa serikali unaopokea mshahara wa serikali.

Uhuru wa kidemokrasia una mipaka yake.
Kwani mkataba wake wa ajira unasemaje?
Huyu atashinda ila haki atakosa.
 
Dah! huu upuuzi ndio unanifanyaga ni sitamani vyeo vya serikali yaan huna tofauti na mtumwa.
 

Mhu 4:6 SUV​

Heri konzi moja pamoja na utulivu, Kuliko konzi mbili pamoja na taabu; na kujilisha upepo.

Heri maisha yakupige, ujue unapigwa na maisha tu, kuliko maisha yanakupiga huku miccm inataka uisujudie....
 
Huyu mkenya kasema ukweli mchungu
 

Attachments

  • IMG-20220823-WA0010.jpg
    IMG-20220823-WA0010.jpg
    35.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom