Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Hv akijitetea alikua anatoa maoni yake kama raia wa kawaida na co kwa kofia ya utumishi wake haiwez muokoa,?
 
Amtafute Peter Kibatala wakafungue kesi mahakamani.Ufukuzwaji wa kihuni na kujipendekeza kwa mteuaji HAUKUBALIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…