Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio vizuri akakosoe vizuri huko NjeHii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema inawezekana ni kweli kwa kuwa mhusika alikuwa na matatizo kadhaa na uongozi.
“Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, ninachojua mhusika alikuwa na changamoto kadhaa na uongozi na suala lake lilikuwa linashughulikiwa,” - Jamila
Hata hizo enzi unadhani kila maamuzi ilikuwa ni amri kutoka juu? Kuabudiana kunaendelea tu.Utakuta wala amri haikutoka juu.
Utakuta ni watu tu wasiojiamini na wanachofanya na kutegemea kupata mileage kisiasa kwa maamuzi kama haya au watu wanaodhani bado tuko kwenye enzi zileee za kuabudu watu....
Uhuru upo humu JF ila ukienda kutoa maoni yako yasiyowafurahisha huko nje unakuwa umevuka mipaka.Uhuru wa maoni uko wapi??
Anashinda mapema kivipi wakati ameelekezwa kukata rufaa tume ya utumishi wa umma ambako nako licha ya rufaa kusikilizwa baada ya miaka 3 toka kuwasilishwa, watasema rufaa yake haina mashiko na kisha watamwelekeza akate rufaa kwa Rais wa JMT, huko maamuzi yake ushajua yatakuaje. Usisahau kuwa Rais anaweza kutoa maamuzi ya rufaa hiyo hata baada ya miaka 4...umapema unatoka wapi happ mkuu?Akimpata wakili mzuri asiyeogopa vitisho anashinda kesi mapema
Naulizia watumishi kama hao wa serikali na si hao watu maarufu wanaojulikana.Wengi tu kimya kimya.
Kwani lisu na Kibendera walifanywa nini, roma mkatoliki nk
Kuna watu hadi sasa bado hawajaelewa.Ile ya Ndugai ilionesha true colors za Malkia wa nyuki mmiliki wa buyu la asali
Ni kosa kisheria kwa mtumushi wa umma kukosoa. KUSHAURI SI SAWA NA KUKOSOA.
Afadhali huko, lakini kuisema serikali ukiwa serikalini ni suicide missionHata ukiwekeza kwa kujenga kiwanda, shule, hoteli, hospitali, ama kuanzisha kampuni. Ukiikosoa ccm utaijua kwann Ina rangi ya kijani.
Kabisa tena atalipwa hela nyingi mno. Ila haya mambo mengine ni ya ajabu. Mbona Mh. Rais wanamponda twitter sana mbona na yeye pia alishasema akosolewe au ndiyo kulinda cheo?Akimpata wakili mzuri asiyeogopa vitisho anashinda kesi mapema
Ndio ukweli..... tafuta shughuli nyingine kama nia yako ni kuwa huru. Hata ingekuwa ni private company, wasingeruhusu mfanyakazi wao auseme vibaya uongozi wa kampuni.... nenda kwa Bhakhresa kamseme vibaya yule mzee uone kama utaachwaShida Ni kutoa maoni . Serikali ukitoa maoni tofauti nayo Ni matusi.
Na pia alisema "... Kwa kuwa yeye ndio msajili wa Hazina(TR) hakuna mtumishi wa umma anayelipwa milioni 40(40M).."Wewe unaishia Dunia gani?Unakumbuka kilichomfukuzisha Mafuru pale hazina?Alialikwa clouds 360,akahojiwa kuhusu malalamiko ya wananchi kwamba vyuma vimekaza!Akatoa sababu za kiuchumi ikiwa ni pamoja na serikali kubana matumizi,serikali kufanya miradi mikubwa inayochukua pesa nyingi Kwa pamoja hivyo pesa nyingi kwenda huko na hivyo kupunguza mzunguko wa ndani!
Baada ya hapo,alikutana na barua ya kutumbuliwa ofisini!
Ukishakuwa kwenye nafasi ya utendaji, huna privilege ya kukosoa au kupinga.Hili ni tatizo la kiutamaduni ni big problem. utamaduni wetu ni wa kijinga katika suala ukosoaji tuko ziro eti mkubwa hakosei na hakosolewi, ni upumbavu tu. Ili nchi isonge mbele watoto wafundishwe kuwa kukosoa wakubwa ni sahihi na wakubwa kuomba msamaha wadogo wanapowakosea ndio modern civilization!
Jamaa kaonewa ana haki ya kukata rufaa maana kuna haki za binadamu "freedom of speech" zifuatwe tumesaini wenyewe UN!
🤣🤣 Sasa huyo jamaa alikuwa anasema JPM hakuwahi kutenda hivyo! Tena jamaa aliongea kistaarabu kabisa!Na pia alisema "... Kwa kuwa yeye ndio msajili wa Hazina(TR) hakuna mtumishi wa umma anayelipwa milioni 40(40M).."
Na wakati jiwe alishawahi tuambia kuwa kuna watumishi walikuwa wanalipwa milioni 40 na zaidi.
Alikanusha taarifa ya Rais.
Kesho yake wakala kichwa na kuteuliwa Dr. Mashindano kutoka idara ya uchumi Udsm kuwa TR mpya.
Nlikuwa nachomekea tu...!!
We acha tu ishu zinavuma sanaHahahahha unakuta kidemu kilikuwa kinamtamani ila mwamba hana ishu nae kikaona ndio sehem ya kumkomoa 😂😂😂 ila wadada wambea kisenge.
CCM OYEEEE !!Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema inawezekana ni kweli kwa kuwa mhusika alikuwa na matatizo kadhaa na uongozi.
“Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, ninachojua mhusika alikuwa na changamoto kadhaa na uongozi na suala lake lilikuwa linashughulikiwa,” - Jamila