Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

Moronight walker

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
3,103
Reaction score
4,704
Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule.

Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa.
Your browser is not able to display this video.

Nguo za zamani hazitupwi.
Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳.

Mshikamawili moja umponyoka.
 
Wanawake wengi hasa wajinga wanatudanganya sana.

Mtu amekukula miaka hajakuoa, unapata mshikaji anakupenda na kujitoa bado una msaliti.

Nikigundua utalia hadi unaingia kaburini
 
Kaenda kugongwa weeeee alafu kesho anaenda kuolewa na mjuba mwingine alafu akishaolewa aendelee kugongwa na ex wake, alichokosea Jana yake angemuita Mchumba wakapige 3some na ex hapo Mchumba analalamika kwanini hamkuniita tupige 3some?
Wanawake wengi wajinga hufanya hili.
Nami naomba wafumaniwe kama hili lijinga
 
Wanawake wengi wajinga hufanya hili.
Nami naomba wafumaniwe kama hili lijinga
Wengi ndio hivyo wanataka kumalizana na ex kabla ya kufunga Ndoa kwa hio wanagongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…