Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

Kitu watu wengi hawakijui ni kwamba, Mwanamke/Mwanaume asiekuwa na hofu na Muumba ataendelea kuufanya ushetani maisha yake yote.

KABLA HAMJAOANA HAKIKISHENI KUWA MNACHUNGUZANA TABIA, NA IMANI ZENU KAMA ZIPO THABITI KWA MUUMBA.

MALAYA NI MALAYA TU! USIOE/KUOLEWA NA MALAYA UTAJUTA!
 
Wewe mkeo vipi sio ndio walewale?
 
Wanawake wengi hasa wajinga wanatudanganya sana.

Mtu amekukula miaka hajakuoa, unapata mshikaji anakupenda na kujitoa bado una msaliti.

Nikigundua utalia hadi unaingia kaburini
Wanawake wa hivyo wanaolewa kwasababu nyengine tofaut na sio upendo Mkuu.

Ushauri : Kabla hujaoa hakikisha unamchunguza mwenza wako vizuri.

MUIGIZAJI ANAJULIKANA TU!
 
Ushauri : Kabla hujaoa hakikisha unamchunguza mwenza wako vizuri.
Huu ujinga sifanyi nna Mambo mengi ya kufanya sio kuchunguzana na mtoto wa mtu ambae tumekulia mazingira tofauti, ukichunguza sana hauoi
 
Huu ujinga sifanyi nna Mambo mengi ya kufanya sio kuchunguzana na mtoto wa mtu ambae tumekulia mazingira tofauti, ukichunguza sana hauoi
Ujinga kumchunguza mtu kabla ya Ndoa?

HAYA BHANA MZEE WAKUBISHA BISHA

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Asilimia kubwa ya watu wa Afrika ndoa hawaziwezi, wanalazimisha tu. Uaminifu ni sifuri, ustaharabu ndio sifuri yenye masikio makubwa.

Wake za watu siku hizi ndio watu rahisi zaidi kuwapata, wanachepuka na vijana wasiojiweza kimaisha. Waume za watu ndio mazuzu kabisa kwa vibinti vya kawaida sana.

Ndoa ni taasisi inayoelekea kujifia siku sio nyingi. Huwezi kuanza maisha na mtu ambaye ana wapenzi wake zaidi ya 10 na bado hajaamua kuwaacha ila kwakuwa wewe zuzu umemuendea na unataka kumheshimisha umtunze na hao kumi wengine hawapo tayari kwa mizigo ya matunzo.
 
Bahati ya mwanamke kuolewa huwa haiji mara nyingi wengi wana bahati moja tu na wanazipoteza kwa kuwapuuza wanaume wanao wapenda na kuwatukuza wanaume wanao wachezea.
 
Back
Top Bottom