Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

Sio wanawake ni mwanamke ...kijana.

Mimi ni muumini wa mapenzi ya kujitoa kwa mpenzi mmoja.

Porojo zingine ziache huu ndio ukweli
Hongera sana
 
Alienda kumuambia ex aache kumfatilia kama tu mke wa masanja alivoenda kwa yule naniliu.
Kwa nini hakumwambia wiki moja au mwezi mmoja kabla?
Au kwa nini hakumwambia kwa njia ya maongezi ya simu au msg?!
Si rahisi kumwelewa mtu wa aina hii!
 
Back
Top Bottom