Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sasa kama sina mke?πMwambie mkeo leo nataka niruke ukuta alafu mwangalie usoni
Sio ka ukweli kadogo bali li ukweli mkuuππ Kuna kaukweli.
Huna hata kamanzi ka kupunguzia uzito?Sasa kama sina mke?π
Wewe ukijua inatosha.Kuandika shida kweli kweli, jifunze kuandika kwanza.
SinaπHuna hata kamanzi ka kupunguzia uzito?
Unapiga gitaa la rizimu au solo?Sinaπ
YoteπUnapiga gitaa la rizimu au solo?
Unapaka mafuta kabla ya kupiga gitaa? Si unajua nyuzi zile zinapasua vidole bila kupaka mafutaYoteπ
Wewe mbona hujibu swali umekalia mafumbo tu?πUnapaka mafuta kabla ya kupiga gitaa? Si unajua nyuzi zile zinapasua vidole bila kupaka mafuta
Nishajibu km huna wa kumwambia fika Riverside kwanza alafu nikupe mwongozoWewe mbona hujibu swali umekalia mafumbo tu?π
Kuna mechi leoπ... fika Riverside kwanza alafu nikupe mwongozo
Wewe fika hapo Zambezi Bar au Micasa alafu nshtueKuna mechi leoπ
Hongera sanaSio wanawake ni mwanamke ...kijana.
Mimi ni muumini wa mapenzi ya kujitoa kwa mpenzi mmoja.
Porojo zingine ziache huu ndio ukweli
Kwa nini hakumwambia wiki moja au mwezi mmoja kabla?Alienda kumuambia ex aache kumfatilia kama tu mke wa masanja alivoenda kwa yule naniliu.
Ok ntakushtuaπWewe fika hapo Zambezi Bar au Micasa alafu nshtue
Sawa usiniwekeOk ntakushtuaπ