Kwenye ukweli uongo hujitenga. Huyo demu nj Gold digger alikuja kuchuma sasa ameshtukiwa anamind. Fala huyo aende zake.I dont know about nature ya kuvunjika huko, but ndoa ni kitu cha uwazi. Sasa kama upande mmoja haukutaka uwaz tatizo lilianzia hapo
Kwan imezuiwa mbona ipo ni wanaume tu wanakuwa na huruma. Halafu kibongo bongo wanawake zetu sio wote wanatukuta na mali tunaanza pamoja.Hii prenup inabdi hata bongo ije ili heshima iwepo.
HahahahahaSasa anaoa ili agawane mali?! Wanawake wa siku hizi sijui mpoje, utadhani majini wanyonya damu a.k.a Vampires?! Me mnanikera.
Hivi why u guys lack class and dignity, baba zenu na mama zenu hawajawafunza kuwa kuna utu kwanza before anything katika mahusiano?!
Me mnanikeraaaaaaaa sheeeeeenzi.
Nampenda Sana Beyonce sijui Kwa NiniKwenye ukweli uongo hujitenga. Huyo demu nj Gold digger alikuja kuchuma sasa ameshtukiwa anamind. Fala huyo aende zake.
Swala la mali utata wake huwa ni mdogo sana sema wanawake huwa hawajiamini na kujikuta wanafanya mambo ya hovyo hovyo yanayoishia kuwachafua.Mimi ni mwanamke ila sitaki mambo ya kujumlishana kwenye mali. Kila mtu akae na mali zake. Ikitokea kuachana kila mtu atabaki na chake, mtoto/watoto tutachangia kuwalea. Nilienda sababu ya mapenzi, mali kila mtu yake.
Eeeee basi na hayo mayai yenu mkakaangie chipsi tutaanza kugoma kutoa mbegu. Mkazae na nyani. Si mnataka usumbufu. Ndio maana siku hizi wanaume wanazaa na wanawake na kutoka nduki sababu wameona hamna tena maana kwenye maisha yao sababu ya kupenda ligi za kitoto badala ya kuangalia maisha.Kabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.
Lazima ife sio kwa aina hii ya watu ambao mnaingia na mawazo ya ubinafsi na kujifikiria wenyewe before wenzenu.Taasisi ya ndoa yaenda kufa mazima
Umeona enh, maana hiyo translation haieleweki hakika. Inabidi uwe unajua na English kidogo kujua hapa alitafsiri akimaanisha nini.Wakenya ndo walipewa task ya Google translation ya kiswahil eh..kazi ipo
Madobi wamejaa kibao mtaani huko, wadada wanaopita kufua nguo wapo kibao tu tena bei nzuri. Chakula mwanaume unaweza jifunza kupika na wanaume siku hizi ni wapishi wazuri sana kuanzia chapati hadi kisamvu ukiambiwa kapika mwanaume unakataa jinsi vinavyopikwa vizuri.Kwa mentality hiyo utakuwa single milele.
Anyway kufua boksa ni jukumu la mwanaume ila nguo zingine ni jukumu la mkewe kama heshima kwa mumewe. Je wewe unaweza mpa mumeo mshahara wako? Kama huwezi kwanini unataka Mali zake ziwe zako?
Hapa utakua hutimizi wajibu wako.Ndo kilichobaki....tena wasitegemee kufuliwa hata boksa
Ila yule mwamba me sikumuelewa kabisa kukaoa kale kabinti. Maana Dah, kwanza kabinti kana mambo mengi hapa mjini hadi basi, video za utupu, picha za utupu, kameruka na manjemba na madingi kibao plus kana damu ya mtu maarufu mikononi mwake. Jamaa amekaweka ndani.Hiv alimsainisha Elizabeth prenup eee
Na kukata mauno hawawezi pia🤣🤣🤣Kwakizazi hiki ukimpata huyo binti anayefanya hivyo, shukuru Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]. Ukipata mtoto wa kiume akifika kipindi chakuoa muulize mabinti wangapi wanaziweza hizo kazi na hao waliosoma waulize wangapi wanataka kuzifanya hizo kazi[emoji23][emoji23][emoji23], ukiwa mwanamke huyajui maswaibu ya mwanaume bora tu utulize sista. Binti, kazi yake ni starehe shopping na kununua chakula cha nyumbani hataki kupika[emoji23][emoji23][emoji23]. Wacha sisi tukae kimya nyie mjione watakatifu na wakamilifu kwenye majukumu yenu[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhm kwa fikra hizi sasa naelewa y u is a single mamaNdo kilichobaki....tena wasitegemee kufuliwa hata boksa
Watu wenye hela bwana wana mambo ya kingese kweli. Sasa prenup ya nini ndoa ya nini wakati una helaNdiyo
Not like that. Mgawanyo wa mali uwepo kuwalinda wanaume dhidi ya wanawake gold diggers. Wanaoingia kwenye ndoa na nia ovu ya kupata mali za mwanaume alafu asepe maana wapo wengi sana wa hivyo siku hizi.Kabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.
Ndio maana umekuwa single maza.Una ligi za kijinga sana.Mali za mume kabla hajakuoa zinakuhusu nini wewe?.Ubaki hivyo hivyo na usingle maza wako wewe much know.Ndo kilichobaki....tena wasitegemee kufuliwa hata boksa
Mmmmmmhmn labda kama Hakimu alikuwa ni shangazi yake huyo dada. Ila ni ngumu sana hapo kwa mwanamke kutoboa hiyo kesi. Kwanza mambo ya kuhoji yapo mengi.Wazo zuri. Shida inakuja kwa baadhi ya wanawake wanaoingia ndoani kwa malengo ya muda mfupi. Yaan mtu anaingia ndoani kajipanga kuwa baada ya miaka 2, 3 tunaachana tunagawana hao ndio walioharibu game.
Zaman watu walikua wakiachana na wanagawana haikua shida. Ila siku hizi imekua ka mchezo ka maksudi kabisa.
Kuna jamaa alioa mwanamke yy ni mfanya biashara na binti alikua mtu wa home, alimtoa kwao. Wakati wanaoana jamaa alikua amepanga ila alikua na kiwanja na ka spacial kake.
Baada ya kuoana wakashauriana waanze kujenga. Kweli wakaanza. Mwamba akawa ni mtu wa kutafuta mpunga anampa mwanamke akafanye jambo kwenye ujenzi wao.
Bwana we, kumbe binti ni akili nyingi kuliko mchizi. Binti alikua kila anaponunua kifaa cha ujenzi (tofari, mchanga, mawe, sment nk) risiti alikua anaandika jina lake. Mwamba hakuona kama ni shida hio kwa kua mwanamke si ndio alienda kununua.
Baada ya nyumba kukamilika wakahamia. Wakakaa miezi kama 9, 10 hivi binti akalianzisha waachane. Purukushani hadi mahakamani. Kufika mahakamani ikaonekana ile nyumba ni mali halali ya mwanamke na mwanaume hakuchangia kitu. Sababu ni ushahidi wa zile risiti za vifaa vya ujenzi ambazo zote zina jina la mwanamke
Mahakama ikaamua, ile nyumba iuzwe na pesa ya nyumba apwe mwanamke, na mwanaume apewe pesa ya kiwanja chake. Kisha mali zingine walizo nazo wagawane sawa. Mwamba alilia kilio cha mbwa koko aliyeshikwa na chatu.
Mazingira kama haya yanaonesha kuwa kwa miaka ya sasa, 80% ya wanawake huolewa kwa malengo ya mali. Ndio maana wanaume wamesanuka siku hizi.
Kwenye kuongea hawa viumbe huwezi shindana nao wanaongea kama ndege chiriku. Njoo kwenye vitendo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Kwakizazi hiki ukimpata huyo binti anayefanya hivyo, shukuru Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]. Ukipata mtoto wa kiume akifika kipindi chakuoa muulize mabinti wangapi wanaziweza hizo kazi na hao waliosoma waulize wangapi wanataka kuzifanya hizo kazi[emoji23][emoji23][emoji23], ukiwa mwanamke huyajui maswaibu ya mwanaume bora tu utulize sista. Binti, kazi yake ni starehe shopping na kununua chakula cha nyumbani hataki kupika[emoji23][emoji23][emoji23]. Wacha sisi tukae kimya nyie mjione watakatifu na wakamilifu kwenye majukumu yenu[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha aliyesema wanawake hawana akili inabidi atafutwe apewe hela yake. Hawa viumbe ni changamoto aisee. Ukicheka na mwanamke utapata hasara muda wote.Kwamba ukinipikia wali maharage, na kufua boxer zangu, basi unaqualify kubeba nusu ya mali zangu?
Kama kweli hii ingekua ni hoja ya msingi, basi wafanyakazi wa ndani a.k.a beki tatu, wangekua matajiri wa kutupwa. Maana wanafanya yote hayo kwa ufanisi mkubwa!
Hiyo inaitwa Life insurance. Unakwenda kampuni ya bima unakwenda kuingia nao mkataba kuwa endapo itatokea umekata waya kuanzia umri fulani say baada ya miaka 50 au 60 watalipa familia yako kwa maana ya mtoto na mke kiasi fulani mfano milioni 300 then wewe kila mwaka unalipa premium yao labda ya milioni 5 au 10.KUna siku jamaa wa bima walikuja kazini kushawishi watu wakate bima mbalimbali, basi mhamasishaji mmoja akatueleza kuhusu jamaa .moja huko Iringa alikata bima akifa familia yake ipewe milioni mia saba na ushee ( kiasi halisi nimeficha makusudi). Kilichotokea inasemekana mke alimuua mumewe baada ya muda mfupi tangu mume alipokata bima. Ndugu wa mume walijaribu kuizuia kampuni ya bima isimlipe mke kwani walijua kwa uhakika mke ndiye aliyemuua lakini kampuni ilikataa na ikamlipa kwa sababu ya mkataba na hakukuwa na uthibitisho wa kimahakama.