Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

Contact sina ila ule mtaa wa phone accesories nyng sjui ndo unaitwaje ule kuna duka famous kwa Mzungu

Itakuwa karibu na KKKT pale, duka lipo opposite na kanisa kwenye kona...

Nafikiri wanapaita kwa Daudi pale...
 
Habari wana JF,

Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa.

Nicheki whatsapp 0657940974
Note9 lcd bei gani boss
 
ziite fake mzee, spare parts za samsung hazitoki China
Kaka usiishi kwa kukariri, ishu iko ivi,, 80% ya bidhaa nyingi tunazozitumia duniani zinapatikana China,,

Wenzetu wamegawa bidhaa zao kulingana na grades,, ukitaka fake unapata na ukitaka original unapata ili mradi kila mtu asikose kile anachokitaka.

Ebu nambie vitu vingi unavyotumia nyumbani kwako vimetengenezwa wapi?

Kwa wale wenye uhitaji wa vioo au hata simu za Samsung kwa bei za jumla karibu uagize hutajutia, ndani ya siku 10 hadi 14 za kazi unapata bidhaa yako,, unaweza hata ukafanya biashara kupitia mimi.

Nicheki whatsapp 0657940974.
 
Shukran mkuu kwa huduma,kioo kipo fresh japo kilichelewa na enjoe,maana bei niliyo ambiwa huku hii simu niliamua kuipaki
 
Back
Top Bottom