Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

S7 edge unapata kwa 290,000
Duuuuh!!!!!Kioo cha S7 Kwa 290k????

Wakati K/Koo unapata Samsung S9, simu, sio kioo!!!
View attachment 2612920
Screenshot_2023-05-07_093150.jpg
 
Habari wana JF,

Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa.

Nicheki whatsapp 0657940974
Aisee cha Galaxy A10 bei gani
 
Back
Top Bottom