Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Mi bado hajanishtua,washushe kutoka 15% HESLB mpaka 10% maana ukikopa Bank unakatwa hiyo 15% so no sawa na umekopa Bank mbili si umaskini huo
 
Halafu index number iwe na digits 4.Mfano SO308.OO76.1998.Hizo za katikati kuna vyeti vya zamani vina digit 3 hapo ongeza 0 itajipa
Nimefanikiwa, bado inagoma kuingiza username, niki click keyboard haiji ili niandike username.
 
Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiJ
Je,serikali imejiwekea hiyo 6% ya VRF kwenye deni la mshahara linaloidai kwa miaka zaidi ya 5 sasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea na wee muhanga wa hilo vanga? Acheni kulia lia bhana, lipeni madeni tena kwa riba kubwa, ili wanufaika wawe wengi,
Wanafunzi wahitaji wa mikopo ni wengi msisahau hilo pia.
Yani shida sio kulipa kabisa shida sio kulipa....
Nimekopeshwa m6 sawa, penalty m1, retention fee m4, deni likawa m11 sawa sijakataa....ila kwanini hiyo m11 tena isiishe? Yani kila mwaka inaongezeka tu? Upimbi huo, kwakweli Samia abarikiwe kwa hilo....ntahakikisha naclear kabla hajaja mwingine akatufanyia umagufuli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan hii habari mlivoipokea wallah naona SAMIA kawagusa penyewe palipouma, yeye kafuta kabisa had kovu la jeraha. Mweeeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan hii habari mlivoipokea wallah naona SAMIA kawagusa penyewe palipouma, yeye kafuta kabisa had kovu la jeraha. Mweeeeeh
Kwakweli katutendea haki, anabarikiwe sana....
 
Hatimaye Website yao wameifunga, iko suspended sijui kuna shida gani?
 
Kwakweli mama tukalimalizie tu kabla hajaja mwendawazimu mwingine akatufanyia umafia.
Kwakweli huyu mama ananifurahisha basi tu.
 
Mlivokua mnapokea mkopo na boom, mlikua mnaona raha san, ila kulipa mnapiga mayowe,
Acheni ujinga, mlipe madeni ya HELSB.
Acha wivu wa kike.....ulikatazwa usiombe ? kama hukua na vigezo vya kupata mkopo si ukae kimya tu
 
Wewe mwenyewe haujui unachosema. Restrospective = ina-apply kwa miaka ya nyuma pia. Sheria haitakiwi ku-apply retrospectively. Lakini kwa Tanzania inawezekana. Sheria ya makato ya 15% ili-apply retrospectively. Hata wale ambao tulimaliza zamani kabla ya hiyo sheria ya Ndugu-gay kupitishwa, tunakatwa 15%. Hii haikuwa kwenye mikataba yetu. Kwa hiyo muuliza swali ana haki ya kuuliza. Hapa kwetu neno la Rais ndio sheria.
Jmn sheria huwa ni restrospectively...now onwards sio kurudi nyuma

mana makato ya nyuma yalikuwepo kisheria vile vile..

shuleni huwa mnasomea nini jmn
 
HAKUNA kumsifia mama wala wizara, Sisi huku mahakama, mawakili binafsi wanapata fedha nyingi na hakuna anayelipa, kama kweli HELSB wajanja bas waje waombe mfumo wa mawakili uunganishwe na bodi, kwamba wakili hapati leseni yake kama hajaanza kulipa kila mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…