Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Sasa Samia ndiye alietengeneza hilo tatizo ? Mbona unataka kulaum pasipo stahili?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Unaumwa wewe sio bure, mbona ukiwa unawadai wao hata ipite miaka mia hiyo thamani haiangaliwi?Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee
Wee acha kupanick bila 7bu za msingi, vigezo nikikidhi haswaah, ila sikuomba mkopo. Na still maisha ya chuo hayanisumbui upande wa financial,Acha wivu wa kike.....ulikatazwa usiombe ? kama hukua na vigezo vya kupata mkopo si ukae kimya tu
Hili ndilo wanapaswa kufanya.Ushauri ni vyema bod ya mikopo kama kweli imepunguza kwa namna hiyo wawasiliane na ofisi za utumishi watume majina na kiasi cha madeni cha wanaokatwa
Hili ndilo la msingi.Mama tumpe mitano Tena, Mimi ngoja nilipe Deni langu kabla miaka yake haijaisha asije kuja mwingine akaridisha hyo VAR
Sasa kipindi kile mmepewa pesa kidogo ulikuwa unalia lia nini kama sio mnufaika wa mikopo hiyo?Wee acha kupanick bila 7bu za msingi, vigezo nikikidhi haswaah, ila sikuomba mkopo. Na still maisha ya chuo hayanisumbui upande wa financial,
Acha kelele lipa madeni ya HELSB, ili wengine wanufaike pia.
Wala hata mie nilikua nalalamika kupitia wenzangu, na hata sijawahi kupata mie, hata pale enyewe sikusema napewa, ila nlkua nasema chuoni kwetu jinsi watu hela waliyopewaa,Sasa kipindi kile mmepewa pesa kidogo ulikuwa unalia lia nini kama sio mnufaika wa mikopo hiyo?
Kuna mahali mtoa mada alisema hataki kuulipa huo mkopo hadi ukasema ilipwe? Au hoja mezani hujaielewa[emoji2369][emoji2369]Wala hata mie nilikua nalalamika kupitia wenzangu, na hata sijawahi kupata mie, hata pale enyewe sikusema napewa, ila nlkua nasema chuoni kwetu jinsi watu hela waliyopewaa,
Mie sina tatzo na watu kupokea mkopo, tena napenda wanufaika wawe wengi, ila tyuuh wakati wa malipo walipe bila kelele.
Au kosa langu ni lipi mommy.
Hapana hajasema kuwa hataki kulipa, ila mie nilichosema ni kuwa walipe bila kuwa na kelele.Kuna mahali mtoa mada alisema hataki kuulipa huo mkopo hadi ukasema ilipwe? Au hoja mezani hujaielewa[emoji2369][emoji2369]
We kobe kweli wewe aliekwambia silipi nani ?Wee acha kupanick bila 7bu za msingi, vigezo nikikidhi haswaah, ila sikuomba mkopo. Na still maisha ya chuo hayanisumbui upande wa financial,
Acha kelele lipa madeni ya HELSB, ili wengine wanufaike pia.
Huna unachokijua kwahiyo ni bora ukaficha ujinga wakoHapana hajasema kuwa hataki kulipa, ila mie nilichosema ni kuwa walipe bila kuwa na kelele.
Au ngoja nkuulize swali, wakati wa kuomba mkopo si kunakuwa na kanuni na tararibu zake, vipi kuhusu utaratibu was marejesho? Huenda watu walikua wana sign mambo ambayi hawayajui.
Sorry naomba nieleweshe. Samahan lakini.
I thought unaongelea jambo unalolielewa.Hapana hajasema kuwa hataki kulipa, ila mie nilichosema ni kuwa walipe bila kuwa na kelele.
Au ngoja nkuulize swali, wakati wa kuomba mkopo si kunakuwa na kanuni na tararibu zake, vipi kuhusu utaratibu was marejesho? Huenda watu walikua wana sign mambo ambayi hawayajui.
Sorry naomba nieleweshe. Samahan lakini.
Umetumia link aliotuma huyu mtoa mada?Account ya bodi suspended. Sijui wataiachia lini watu tuna hamu ya kulipa.
Jamii forum ni kisima cha taarifa
U can use google Idiot.,Wewe mwenyewe haujui unachosema. Restrospective = ina-apply kwa miaka ya nyuma pia. Sheria haitakiwi ku-apply retrospectively. Lakini kwa Tanzania inawezekana. Sheria ya makato ya 15% ili-apply retrospectively. Hata wale ambao tulimaliza zamani kabla ya hiyo sheria ya Ndugu-gay kupitishwa, tunakatwa 15%. Hii haikuwa kwenye mikataba yetu. Kwa hiyo muuliza swali ana haki ya kuuliza. Hapa kwetu neno la Rais ndio sheria.
Sio usomi wala ninikwa hiyo kujibu/kujua hiyo retrospective tu basi kwa hilo unajiona msomi...acha ujinga mkuu.....ndo maana tunaulizana ili kupata mawazo ya wengine
Mmefutiwa deni mnawaza kurudishiwa hela!.,Je; wale waliokatwa pamoja na hizi VRF watarehesheaa fedha au wanafanyaje?
Naamini katika mwendelezo huo hata wale watt waliosoma shule za private na kuchaguliwa vyuo hususan kwa masomo ya sayansi hawataachwa bila mikopo kwakuwa ni wataalamu wetu wa baadaeSawa lkn awaambie hao watu wa bodi kuwa mkopo ni haki wa kila raia.Kusema kisa umesomesha mtt wako shule ya kulipia unyimwe mkopo si saw.
Naona huna ndg walio masikiniSwala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee