Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

Unajua uwekezaji wa maua wewe, biashara hiyo mfano halisi TANZANIA/Mount Meru FLOWERS Arusha anashare Mzee Sarakikya mkuu wa jeshi mstaafu na mzungu na Mama mmoja anaitwa mama Uriyo, ni uwekezaji wa billions bro
 
[emoji3581]
 
Jiweke kwenye miguu ya kijana asiye na ajira mtaji wake ni elimu huo uwekezaji kulima kibiashara anapataje, Ukizingatia umesema bado yuko anafua chupi za shemeji na hata Kama ardhi ni bure
Aanze kuendesha bodaboda mwaka mzima ili apate mtaji halafu ajiingize kwenye kilimo. Tunategemea msomi atatafuta taarifa sahihi za anachotaka kulima na hivyo atapata faida
 
Mkuu unaongea vitu practically havipo,kula mashambani as if unapanda leo na vitu vinaota kesho!
Hapana. Hapa namjibu aliyeuliza kuwa mhitimu akienda vijijini kujiajiri kwenye kilimo, atakula nn muda ambao atakuwa anaandaa shamba na kusubiria mazao yakomae?
 
Kilimo sio nguvu bwashee killmo ni pesa.Kilimo kingekuwa kinalipa usingeona hayo mapori.
Hapo ni sawa na kusema pwani ardhi tele watu wavivu awalimi kalime wewe kama ni rahisi.
Kilimo kingelipa kusingekuwepo na machinga mijini.
 
Huyu engineering graduate afanye kilimo basi ungemuandaa kwa ku incorporate agriculture kwenye syllabus aliyokua anasomea.
Siyo kweli, hiki ni kinatumika Kama kichaka tu Cha kufichia udhaifu wa wasomi.

Wale wanaomaliza SUA wamesoma miaka 4 Mambo ya kilimo mbona hawajiajiri kwenye kilimo?

Kuna graduates kibao wamejiajiri kwenye bodaboda na machinga. Kwenye syllabises zao kuna umachinga na bodaboda?

Graduates wengi wana mentality kwamba kilimo ni kazi ya wasiosoma. Ndiyo maana mnatoa visingizio kibao
 
Hapa hamna kitu mnajificha tu kwenye hizi sababu. Graduates wanaoingia kwenye bongo flava walifundishwa? Wale waliomaliza SUA mbona hatuwaoni kwenye kilimo?
 
Sawa mkuu pamoja nachangamoto unapitia lakini sio sawa na kukaa tu kusubiri ajira
 
Niko tyr mkuu nikopeshe mtaji nitakuripa nikivuna kwa riba nafuu nami niingie huenda unarengo la kutusaidia wasomiii . Maana nijaribu kuangalia hiyo ardhi ya bure wakaniambia wanakodisha alfu hamsini kwa ekari .

Mafanikio ni zaidi ya juhudi na akili
Mtaji unao tayari, hiyo elimu ni mtaji miubwa sana. Wewe ni zaidi ya bibi yako aliyeko kijiiini lkn anaishi kwa kutegemea kilimo.
 
Huku kusoma kwa madesa sio kusoma. Ukijaribu kusoma vitabu vya Library ukaacha kusoma notes ambazo hata hazieleweki, huwezi kumaliza. Halafu tunajiita wasomi. Wasomi kweli???
Safi sana mkuu. Umepiga pale pale kwenye mshono.
 
Mkuu kilimo cha kisasa lazima uwe na mtaji, na siyo wote waliosomea kilimo......wengine ni magwini wao wanataka kuucharaza mdomo tu pesa iingie.
Mr Bin (sijui ni Mr. Been mtajua wenyewe). Huyu alisomea uhandisi wa umeme lkn leo ni mchekeshaji wa kimataifa. Msomi sahihi ni yule anayebadilika kulingana na mazingira
 
Kwaiyo nikiwapa vyeti watanipa mashamba na pembejeo au mi ndo sijaelewa elimu ni mtaji kiaje

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tumia akili yako kulima kwa mtaji mdogo unapata mazao.mengi. kwa mfano unaweza usitumie mbole za viwandani badla yake ukakusanya samadi toka kwa wafugaji kwa kuwapati pesa kidogo sana. Ukamwaga samadi hekari tano. Ukavuna mpk dunia ikakushangaa
 
Kwaiyo nikiwapa vyeti watanipa mashamba na pembejeo au mi ndo sijaelewa elimu ni mtaji kiaje

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tumia akili yako kulima kwa mtaji mdogo unapata mazao.mengi. kwa mfano unaweza usitumie mbole za viwandani badla yake ukakusanya samadi toka kwa wafugaji kwa kuwapati pesa kidogo sana. Ukamwaga samadi hekari tano. Ukavuna mpk dunia ikakushangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…