AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

Dah, mie nilikuwa mnazi sana wa Kiss FM ya kina Dee7, DJ Malis huku RFA marehemu nanii akiwa anakimbiza sana
 
Sahara ilichangia pakubwa kumnadi Magufuri kwenye kampeini za mwaka 2015 na ndo ilikuwa ikutumika na CCM kumchafua Lowasa.
Kingine sahara ilianza kuyumba baada ya Magufuri kiingia madarakani.
Kwel kabisa
 
Radio karibu zote zimefilisika. watanagzaji wengi matajiri hawategemei vyombo vyao au mshahara wao wengi wao ni Madanga, Mashoga, wafanyabiashara za saloon,nguo na Madj wa club pia wapo ma Mcs.

Radion anaenda tu kutafuta exposure basi ila ki ukweli watangazaji wanapitia hali ngumu sana.

Ambao hawana biashara zilizotajwa hapo juu ni mafisadi kuliko huo ufisadi wanaoutangaza na kuuandika, ni wala Rushwa wa maana. Ila kwenye media nyingi za FM wameamua kuwa mashoga na kusapoti ushoga na inawalipa sana.

Kuanzia pale uchafuni, mawinguni na aeiofm, ni vichaka vya kupush hiyo ajenda.
 
Jana nimeweka star tv nichek tarifa ya habari sa2 uck nakuta miziki ya dini tu sikuelewa.
 
Sahara ilichangia pakubwa kumnadi Magufuri kwenye kampeini za mwaka 2015 na ndo ilikuwa ikutumika na CCM kumchafua Lowasa.
Kingine sahara ilianza kuyumba baada ya Magufuri kiingia madarakani.
Malizia na wasafi fm na tv zilianzishwa na kustawi Magufuli akiwa madarakani
 
Diallo alijipendekeza mwenyewe, mwaka 2015, hakutumwa na Magufuli, Magufuli never had any promise or kind of agreement with diallo, Kwanza diallo sio mtanzania, ni Mamluki, apotelee mbali huko
Acha ubaguzi, huyo ni mzinza. Usidamganyike na jina la dialo, majina mengi afrika yanafanana
 
Alikuwa mpiga debe mzuri wa ccm na ni kama wananchi wamesusa hiyo sahara,, wananchi wakiamua kukupoteza unapotea vibaya mno japo inaweza kuonekana ni km hawana nguvu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…