AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

Umeongea kinyume
 
Alikuwa mpiga debe mzuri wa ccm na ni kama wananchi wamesusa hiyo sahara,, wananchi wakiamua kukupoteza unapotea vibaya mno japo inaweza kuonekana ni km hawana nguvu hiyo
Wananchi hawajawahi kuua media, ni waongeaji tu

Wanasemaga wanasusia TBC, duru zinaonyesha inatazamwa zaidi

Huwezi kuacha kupata kitu unachopenda kupata kisa siasa...

Diallo madeni yake binafsi tu
 
Ktk hata maisha ukimtenda mtu ubaya aliyekupa wema utalipwa vzr tu Sasa acha alipwe
 
Sasa hizi Media si huwa wanapewa tender za matangazo na makampuni. Ina maana Media kama Wasafi ilivyo na matangazo ama Clouds Media group halafu waseme hela za kulipa wafanyakazi hawana si vituko hivyo.
Matangazo ya uhakika ni ya serikali ambayo pia huyatoa kwenye vyombo vyake. Mtangazo mengine no machahe ukilinganisha na wingi w vyombo vya habari ndio maana vyombo binafsi vinakosa hela. Labda wafanye kazi ya kuandika miradi wapate hela za wafadhili.
 
Bazil mbakile Kiss Fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…