Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

Sijawahi kuona serikali yenye mambo yakitoto kama haya...
 
Eti hawa ndio Polisi wa kulinda uslama wa Raia na mali zao.
 
Nimesoma comment ya kwanza hadi ya mwisho, kitu ambacho naweza kusema na kuiambia serikali kuwa kwa hili wamelivagaa inamaanisha wananchi wamechafukwa kutoka rohoni na ogopa mtu amechukia ila anakuangalia tu ipo siku tutaelewana
 
Kwani yeye nani asidukuliwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…