Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
This is too much!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuona serikali yenye mambo yakitoto kama haya...
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Hiyo kumbuka ni kesi ya uhaini mpaka mufike huko kwenye hiyo Cross Examination ni baada ya kunyea MTONDOO kwa muda mrefu tuWatakutana na Cross examination ya Kibatala huko court
Eti hawa ndio Polisi wa kulinda uslama wa Raia na mali zao.Ni kweli naamini hayo, nia ya polisi ni ovu.
Haiwezekani huu ushahidi wao unatokea wakati huu wakiwa wamewakamata watuhumiwa, wanafanya hivyo kwa lengo la kuudanganya umma kwamba watuhumiwa walikuwa na hiyo mipango, na wale wahuni wanachukua huo uongo wa polisi na kuusambaza.
Utasema vipi simu yangu ilikuwa na mipango ovu dhidi ya serikali ikiwa wewe ndie uliyekuwa ukiishikilia kwa siku zaidi ya tatu? Ni mjinga pekee atakayeamini madai hayo ya polisi.
HayajakukutaStori za kupikwa zipuuzwe, polisi wetu ni waadilifu hawawezi kufanya huo upumbavu
Yanawakuta wanaotafuta kiki za kisiasa, kuwa muadilifu fanya kazi kwa bidii fanya siasa safi hakuna mtu atahangaika na weweHayajakukuta
Siasa ni maishaYanawakuta wanaotafuta kiki za kisiasa, kuwa muadilifu fanya kazi kwa bidii fanya siasa safi hakuna mtu atahangaika na wewe
Siasa safi,sio za kubweka kama mbwa koko kutafuta attention ya ummaSiasa ni maisha
Unamanisha polisi wamemtengesha shahidi kampuni ya meta ,bila kujua ,ahaaaaWaulizwe Kampuni ya META
Polisi Tanzania iwasiliane na META ili kujua kama kweli account imedukuliwa nadhani nimeelewekaUnamanisha polisi wamemtengesha shahidi kampuni ya meta ,bila kujua ,ahaaaa
Na tarehe hao polisi wata backdate vipi ili ionekane kabla ya tarehe ya kukamatwa.
Kwani yeye nani asidukuliwe!
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi.
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba, ndio maana hakukuwa na taarifa hizo awali, zimeletwa ghafla baada ya udukuzi huo kufanikiwa.
Lengo la jambo hili ni kuudanganya umma ili ijulikane kweli kwamba Mwabukusi na wenzake ni Wahaini.
Ni aibu sana kwa Jeshi letu la Polisi, kugundulika kufanya njama hii ya kijinga, na ni kuidhalilisha nchi nzima kwa manufaa ya DP WORLD na wapambe wake.
Nakala imfikie wakala wa DP WORLD Ritz
Shindwaaaaa.... for the name of Jesus Christ