Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

Yeye Sandaland ndo alitakiwa atengeneze Jezi zenye muonekano wa kitamaduni.
 
Sio kila sehemu utamaduni kenge nyie. Kwahiyo duniani mataifa yote yana vazi la taifa?
 
Wamedarizi na kitambaa cha bendera yao.

Kwani Jersey si zinavaliwa uwanjani?
Kwa hio ndio utamaduni wa watu wa msumbiji?

Halafu jua sandaland anasupply nguo za mazoez, michezo na safari, kwa hio mkienda na mashuka yenu inabidi mlipe pesa
 
Utamaduni wetu haupo kwenye mavazi tu.
 
Kwa hio ndio utamaduni wa watu wa msumbiji?

Halafu jua sandaland anasupply nguo za mazoez, michezo na safari, kwa hio mkienda na mashuka yenu inabidi mlipe pesa
Aisee, haiko hivyo
 
Nadhani hapo ishu iliyopo sio utamaduni bali ni ubunifu wa mavazi
 
Una hoja usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…